Wazee wake waliomlea umekubaliana nao usex na mtoto wao kama demu wako?Ubaya wa kufanya uko wap?..nafaham ubaya wa kuiba,kwamba mwenzio ametafta chake wew ukichukue,hapo maelewano kutakua hakuna kat ya pande mbili,..sasa kufanya tendo na dem wangu tena wote tumeridhia kuna ubaya gan?..anyways,..when you come up with religious factors that significantly keep you away frm questioning,ndo majib kama haya yanakuja,sauwa bwana.
Wewe zinaa imekukolea mpka kisogoni..Hii ndio point sasa.[emoji122][emoji122][emoji122],..kiukwel ku commit adultery mana yake ni sexual relationshp ambayo the least member lazma awe mwana ndoa,.ila tasfiri nyingne za uasherat i think came as bylaws na zmewekwa na binadam kutokana na matokeo yake kuonekana watu ambao hawako kwenye ndoa wakifanya haya matendo kiholela yana madhara,so they put a law and regulation..ili kua na control.kuepusha mambo kama hayo uliyotaja...though ukifanya kwa calculated risk sidhan kama ni dhambi,ni sawa na pombe/ulevi tuu.
Muda wake ni ndoa yako, ukiona unawashwa sana, funga ndoa halali.
1) inarithika kwa kizazi chako..ukizini na binti wa mtu ujue na mama ako atavuliwa chupi na mwanaume asie mumewe,Dada ako,mkeo,mwanao wa kike n.kTutajie hayo madhara kama matatu tu(kwa wasio wanandoa)
Hapo haliitwi uzinzi. Ni tendo la ndoa. Uzinzi unakuja baada ya tendo la ndoa kutendwa na wasio wanandoa.Wewe zinaa imekukolea mpka kisogoni..
Unajaribu kuhalalisha haramu.
Shauri yako
Hujachaguliwa cha kufuata.Hata mababu zetu walikua na mfumo mzuri tu wa maisha na wala walikua hawalali na mama zao
Hata kulala na mama yako pia sio kosa hasa ukiondoa sheria za dini na za kiserikali na imani pamoja na maadili ,Tatizo una judge vtu kwa mtazamo wako.
Wakati dini imekuja kumpa mwanadam mfumo kamili wa maisha.
Ingekua maisha ni kuamua,basi watu wangelala na mama zao,Dada zao n.k
Mimi nini?Ww je????
Uasherati ni dhambiKwahyo uasherati sio dhambi? Ni kawaida tu?
Uasherati ni dhambi pia teh achaaooohh kama sijazini basi nina amani coz nilikua naogopa kuzini tu! asante kwa ufafanuzi mkuu
Mwalimu tupe somo please!Wewe na girlfriend wako mnafanya uasherati
Somo kuhusu nini mpendwa?Mwalimu tupe somo please!
Uko usingizini Mungu akusaidieHii ndio point sasa.[emoji122][emoji122][emoji122],..kiukwel ku commit adultery mana yake ni sexual relationshp ambayo the least member lazma awe mwana ndoa,.ila tasfiri nyingne za uasherat i think came as bylaws na zmewekwa na binadam kutokana na matokeo yake kuonekana watu ambao hawako kwenye ndoa wakifanya haya matendo kiholela yana madhara,so they put a law and regulation..ili kua na control.kuepusha mambo kama hayo uliyotaja...though ukifanya kwa calculated risk sidhan kama ni dhambi,ni sawa na pombe/ulevi tuu.
Wewe chochoteMimi nini?
Mmmhhh aisee..Hata kulala na mama yako pia sio kosa hasa ukiondoa sheria za dini na za kiserikali na imani pamoja na maadili ,
na unaweza ukazin na mama au dada yako au mtoto wako wa kumzaa na kisitokee chochote na maisha yakaendelea, nimesha shuhudia mtu na dada yake tumbo moja wakiwa wapenzi lakin pia songea kule mtu na mama yake walikuwa wapenzi na wanashiriki tendo la ndoa na kwenye vyombo vya habari vililipoti lakin pia kuna baba mmoja alikuwa na desturi ya kufanya mapenzi na bint zake ,
lakin pia kuna kabila fulan bikra ya mabint hutolewa na baba zao wazazi pekee kabla ya kuolewa, hivyo hofu ya hayo ipo kwenye mazoea na iman tu lakin waweza fanya na hakuna lolote lakukuta
Kama ilivyo mimi kwa mila yetu binamu yangu ni ndugu wa damu kabisa tena ni kaka au dada kabisa wa ndani na kuzin naye inaonekana kama laana na mnatengwa na ukoo ,maana ni ndugu wa damu kabisa maana wazazi wenu ni damu moja ndivyo ilivyo kwetu lakin ukanda wa pwani na baadhi ya maeneo binamu yako mnakulana fuleshi bila shida.na maisha yanasonga hivyo hayo yote ni mila tu na imani na mazoea tu kinyume na hapo mnakulana changanyikeni tu kama wanyama wenzetu wengine kina mbuzi ,ng'ombe nk. Huo ndio ukweli mchunguuuuu!
Laki n pia hata mwanamke aliye olewa au mume aliye oa awe mzee au kijana mtoto ama vinginevyo hakuna kosa kufanya mapenzi na yeyote yule awe mke wake au mume wake ama sio mke wala mume hayo makosa yamewekwa na sheria tulizo jiwekea ,iman zetu na makatazo yake, na ile hali ya maadili tuliyo jiwekea wenyewe lakin sisi ni typical wanyama yaan ni changanyikeni tuu na haina shida wa jambo lolote maana kuna wanao ishi hivyo na maisha yanaendelea huo ndio ukweli nje ya ujio wa dini na imani hizi
NB: Ni mawazo mepesi tu lakin yana ukweli nje ya iman na dini zetu na makatazo yake
Bado unarud kwenye hoja yangu maana ukisha mtaja mungu tayar upo upande wa imani ambayo ina makatazo mengi na tuna yazingatia na ndio maana nimesema hayo niliyo yaandika hapo hapo ni nje ya iman ,hebu rudia uzi wangu kuusoma.Mmmhhh aisee..
Kua uyaone,hayo yako nayaskia leo.
Kwani nani alisema adhabu za maovu yetu lazma ziwe duniani?!!!,mbona watu wanaiba na maisha yao yanasonga,watu wanatoa mimba kila kukicha na bado wakiolewa wanapata vzazi maisha yao yanaendelea.,wanandoa wanazini na kuleta watoto wa nje kwenye ndoa mbona maisha yanasonga?!
Au mpaka tupate gharika au tsunami ndo tutaziona hasira za Mungu waziwazi?!???