Nini kusudi la maisha hapa duniani?

Nini kusudi la maisha hapa duniani?

binadamu aliletwa duniani kwa sababu alikiuka sharti alilopewa na Mungu (Mwanzo; 1:16-17), kwahiyo, adhabu mojawapo ilikua ni kumfukuza bustani ya Eden ili asije kula matunda ya mti wa uzima akaishi milele ( Mwanzo; 3:22).
Akili aliyotupatia ni kwasababu alitaka mwanadamu akatawale viumbe wengine wote na ndio maana alisema tumuumbe mwanadamu kwa mfano wetu, it means unakuwa na uwezo wa kufikiri tofauti na viumbe wengine, ndio maana ata hapo unajiuliza uwepo wa Mungu;... nyani, tembo, nzi au ata mende hawawezi fikiria uwepo wa Mungu. (Mwanzo; 1:26-28)
Of course hauwezi kumpenda Mungu usiyemuona wakati unamchukia jirani yako unayemuona, kwasababu kadili unavyompenda na kumtendea wema yule unayemuona ndio hivyo hivyo unavyompendeza Mungu pia (Luka; 10; 27-37)
Hayo maswali mengine nitasaidiwa na wakuu humu.

Waroma (9; 20-21)
Lakini, ewe binadamu, u nani hata uthubutu kumhoji Mungu? Je, chungu chaweza kumwuliza mfinyanzi wake: "Kwa nini umenitengeneza namna hii? " Mfinyanzi anaweza kuutumia udongo apendavyo na kufinyanga vyungu viwili kwa udongo uleule; kimoja kwa matukizi ya heshima, na kingine kwa matumizi ya kawaida.
Waroma 9:20-21 kutokana na maelezo hayo Mungu hatak kuhojiwa hii ina maana ana siri hataki wanadamu wajue, hivyo yeye sio nuru ni giza, kazi nuru ni kuangaza vilivyo gizani vionekane, kwann yy mambo mengine kayaweka gizani alafu ajiite nuru?
 
Mkuu, ni vyema kumtumainia Mungu kuliko wanadamu au vitu. MUNGU yupo anakusikilizia, ukifika tu anakuonesha huu uzi, utakula vitasa si vya ulimwengu huu
 
Waroma 9:20-21 kutokana na maelezo hayo Mungu hatak kuhojiwa hii ina maana ana siri hataki wanadamu wajue, hivyo yeye sio nuru ni giza, kazi nuru ni kuangaza vilivyo gizani vionekane, kwann yy mambo mengine kayaweka gizani alafu ajiite nuru?
Angekua giza asingemwambia Adam kiwa akila matunda ya mti wa kati atakufa, angemuacha bila kujua chochote, asingemtoa Mwana wake wa pekee afe kwa ajili ya kumkomboa mwanadamu huyo huyo aliyefukuzwa Eden kwa kutotii maagizo aliyompa, angemuacha afe na dhambi zake ili aje kumhukumu, Angekua giza asingewatuma wajumbe wake (mitume, mababii na watumishi wengine) waje wakuambie njia ikupasayo kuifuata nawe uchague mwenyewe kati ya jema au baya.
 
Mkuu, ni vyema kumtumainia Mungu kuliko wanadamu au vitu. MUNGU yupo anakusikilizia, ukifika tu anakuonesha huu uzi, utakula vitasa si vya ulimwengu huu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Angekua giza asingemwambia Adam kiwa akila matunda ya mti wa kati atakufa, angemuacha bila kujua chochote, asingemtoa Mwana wake wa pekee afe kwa ajili ya kumkomboa mwanadamu huyo huyo aliyefukuzwa Eden kwa kutotii maagizo aliyompa, angemuacha afe na dhambi zake ili aje kumhukumu, Angekua giza asingewatuma wajumbe wake (mitume, mababii na watumishi wengine) waje wakuambie njia ikupasayo kuifuata nawe uchague mwenyewe kati ya jema au baya.
Mkuu nachouliza kwanini Mungu hataki wanadamu wamhoji kuna kitu gani anaficha akati yeye ni mtakatifu?
 
Makusudi yapo mawili tu na hili halipingiki
1.Survive
2. Reproduce

Na ukiangalia kila kitu unachokiona siasa,sheria,dini,uchumi vyote vinaingia kwenye hayo malengo mawili.
 
Mkuu nachouliza kwanini Mungu hataki wanadamu wamhoji kuna kitu gani anaficha akati yeye ni mtakatifu?
sasa ulitaka umhoji kama wanavyofanya mahakamani?, ulishawahi kumuuliza kitu akagoma kukwambia??, kitu gani alichokificha kwako usijue?
Kama unataka kumjua kwa nia ya dhati utamjua, na kama unataka kuongea nae ukiwa na imani inawezekana. Wapo mitume akina Mose na wengine wengi tu waliongea na Mungu na hata sasa ivi wapo ndio maana wanatufundisha habari za Mungu na wengine wanatoa hadi utabiri na kuona mambo ya rohoni ambayo kwa jinsi ya kawaida huwezi kuona.
Shida yako ni kwamba hauamini na hautaki au haupo tayati kuamini uwepo wa Mungu ndio maana hata tukikuambia kwa maandiko utataka kupinga tu.
Cha kwanza lazima uwe tayari kufundishwa na kupokea hayo mafundisho ndio utaelewa. Fungua moyo, kubali kujifunza.
 
Habarini Wakuu,

Binadamu tunazaliwa katika mazingira tofauti tofauti yenye mila na desturi zake, lakini pia kuna mifumo mingi inayoongoza maisha yetu bila kujua nani mwanzilishi wa mifumo hiyo na kwa kusudi gani? Na je hii mifumo ndio kila kitu katika maisha yetu?

Wengi wetu tuliaminishwa vitu vingi tukiwa wadogo tukiwa hatuna uwezo wa kuhoji tukakubali kuishi maisha hayo hata kama hatuna furaha nayo, wachache wanaenda kinyume na mifumo iliyowekwa na jamii wanaonekana ni wasaliti.

Binafsi niliacha kwenda kanisani tangu nilipopata kipaimara sikuona sababu ya kumtukuza Mungu anaechoma watu moto, msimamo huu ulinifanya niingie kwenye vita ya watu wanaonizunguka.

Wakuu nyinyi nafikiria nini juu ya kusudi la maisha hapa duniani ni kufuata utaratibu uliowekwa na kuondoka au kuna jambo lingine ila binadamu hatulijui?
Furaha ya maisha ni kuyajua.
Haukuzaliwa kwa Bahati mbaya.
Kila mtu anao mpango mahususi katika maisha yake.
Kuhusu Mungu,Yupo,alikuwepo na atakuwepo milele-Ila Mungu haui mtu,hachomi mtu yeyote ktk moto.Mungu ni Upendo wa ajabu-Anakupenda na atakupenda milele .
Ktk kuishi, kila baya litakalokupata-Umelitengeneza mwenyewe.

Dunia ina principle,ukizichezea,utachapwa kiboko,huyo si Mungu na wala siyo shetani,ni elimu ndogo, ukierevuka utaenda level nyingine iliyo bora zaidi.so learn learn learn .

Ulipata impaka kipaimara?Hukutambua maana yake.Tafuta elimu yake kwa utulivu....utafurahia zaidi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama unajiona unakusudi, hamna chochote cha ajabu unaweza fanya. Kama kufa, utakufa nakubaki mifupa tu. Wewe fanya zako kazi, kula bata maisha yaende.
Kuna kundi la watu wa aina mbili za watu, Knowledgable na Ignorance, wewe uko hili pili na samahani kusema huenda utabakia kundi hili milele.
 
Nadhani si kila mtu huondokwa na roho kwa namna ulivyoeleza wewe hapo labda kama umekusudia kutisha watu kama njia ya kutafuta kuhalalisha kitu fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikutishi, just look arround you, everything has a purpose to be where it is, mostly to save you. From small things like acouch you seat at, the chair, water for u to drink, food for you to eat, to a big and natural like Sun, Rain, Parents, relatives, friends, your wife or husband, kids, house, car, cloth, knife or spoon, everything save you. BUT have ever asked yourself what is the purpose of your existance. That is what we are missing, there is some kind of distructions to make sure we do not gind it so we can get fulfillment, it is "THE PURPOSE OF LIFE" , our joy, our love, our contentment , our enlightment.
 
Back
Top Bottom