Nini kitatokea kwa Dr. Slaa baada ya Uchaguzi kwisha?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kitatokea kwa Dr. Slaa baada ya Uchaguzi kwisha??

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mariavictima, Nov 4, 2010.

 1. m

  mariavictima Senior Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hamjambo wote? Naomba ufafanuzi kutoka kwenu wana JF. Je Slaa anaweza kurudi tena bungeni, angalao kwa Viti maalum?? Bila Slaa Bunge litachangamka kweli? Ninaumia sana kila nikifikiria hatma ya mpambanaji wetu!!!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Labda tukufahamishe kwamba sasa hivi kuna akina Slaa wasiopungua 10 watakaoingia Bungeni!
  Sijui kama umeridhika!
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Slaa ataendelea na kazi zake za ukatibu Mkuu.
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Atajikita kwenye kuimarisha chama
   
 5. U

  Uyole12 JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 586
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Alishasema akishindwa urais anaimarisha chama ili uchaguzi wa mwaka 2015 uwe mzuri kupita sasa.
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Karibu!
   
 7. M

  Mnyalu wa Kweli JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 233
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Hapana, Dr Slaa hawezi kurudi bungeni kwani analishasema kuwa ana kazi kubwa ya kuimarisha Chama nchini. Isipokuwa anaweza kurudi bungeni kwa mazingira yafuatayo
  1: Ateuliwe na Rais kupitia zile nafasi kumi alizonazo kikatiba kama alivyofanya kwa Ismail Jusa Ladhu wa CUF.
  2:Agombee uspika na ashinde kupitia kambi ya upinzani.
  NB: Ningependa aendeshe zaidi operesheni za kuimarisha Chama ili tuchukue nchi 2015.

  Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
   
Loading...