Elections 2010 Nini kitatokea kwa Dr. Slaa baada ya Uchaguzi kwisha??

mariavictima

Senior Member
Jul 8, 2010
179
39
Hamjambo wote? Naomba ufafanuzi kutoka kwenu wana JF. Je Slaa anaweza kurudi tena bungeni, angalao kwa Viti maalum?? Bila Slaa Bunge litachangamka kweli? Ninaumia sana kila nikifikiria hatma ya mpambanaji wetu!!!
 
Labda tukufahamishe kwamba sasa hivi kuna akina Slaa wasiopungua 10 watakaoingia Bungeni!
Sijui kama umeridhika!
 
Alishasema akishindwa urais anaimarisha chama ili uchaguzi wa mwaka 2015 uwe mzuri kupita sasa.
 
Hapana, Dr Slaa hawezi kurudi bungeni kwani analishasema kuwa ana kazi kubwa ya kuimarisha Chama nchini. Isipokuwa anaweza kurudi bungeni kwa mazingira yafuatayo
1: Ateuliwe na Rais kupitia zile nafasi kumi alizonazo kikatiba kama alivyofanya kwa Ismail Jusa Ladhu wa CUF.
2:Agombee uspika na ashinde kupitia kambi ya upinzani.
NB: Ningependa aendeshe zaidi operesheni za kuimarisha Chama ili tuchukue nchi 2015.

Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
 
Back
Top Bottom