pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
It will be incunation of hyman hymocycronation because suffocation need tursemination of sibercunited
Unaposema kwenye kifo hakuna muda kwani hiyo jana sio muda?Kuna kamsemo kanasema nature always find its way and nature always win.
Mazingira hayamuhitaji mwanadamu ila mwanadamu ndio anayehitaji, hivyo kama ikitokea tukalala miaka 1000 hata hiyo ni mingin sana tuseme tulale mwka mmoja tu.
Tukiamka tunaweza kutanhata tails za ndani zimeota miti au nyasi..
Kama muda utasimama basi tutaamka na kukuta hali iko vilevile lakini kama muda utakua unaenda mbele basi tutakuta mabadiriko makubwa kwenye mazingira. Kama vile mtu aliyekufa karne iliyopita aamke leo atakuta mabadiriko makubwa ila atajua jana tu alikua kalala coz kwenye kifo hakuna muda