Asubuhi ule ubaridi unakuta watu wanasubiria jua litoke ili wajianike kama kengeAngalau wewe unaelekea kwenye jibu sahihi.
This is a correct answer. Nimesikitika na jinsi wengi Wa waliojibu swali hili walivyojibu kimzaha..Hili ni swali ni debatable hadi kwa scientists wenyewe.
Inasemekana Jua litakufa baada ya miaka Billion 10...Faida na kazi za jua zinafahamika.
Ikiwa na maana zitacease na maisha yanaweza kuwa hati hati duniani. sio swali rahisi ni swali gumu saana.
Ila sisi hatutakuwepo maana kumaliza tu kabillion kamoja sio kesho.
Habari zenu.
Mimi mi mpenzi sana wa mambo ya intelligence. Ni mgeni kidogo humu jf upande wa kuwa member. Jukwaa hili ndio limenishawishi niweze kuwa member kamili ili niweze shiriki vizuri jukwaani.
Hivi ktk ulimwengu wetu huu, jua kama ndio chanzo cha gravity, nishati nk, ikatokea limezima ghafla, ulimwengu utakuwaje? Haswa hapa ktk dunia yetu, ni nini kitatokea?
Nami baadae nikipata muda nitaingia google/ youtube UNIVERSITY niweze pata mawazo zaidi. Ila kama kuna mwenye kujua kabla, anaweza saidia.
Asanteni.
Jua likizama kutabaki usiku milele bhasss
hahahaaaa.......Ikatokea likazima ghafla, mwezi hauwezi kuona ujinga huo na kuvumilia lazima utawaka.
Ila kuna viumbe wao wanaishi chini ya bahari tena huko arctic na antarctica, literally chini ya mabonge ya barafu, maji huko ni way below zero degree, sidhani kama wataathirika. Kwa sisi binadamu na tunaoisho juu ya surface, ni wazi kabisa tutaathirika.Inshort,kila kiumbe kinachoishi hapa Duniani kitakufa,refer kazi za jua kwa viumbe hai...
Mwezi hauna mwanga wake, bali huakisi mwanga wa jua upande wa dunia ambako jua linakuwa linapiga, yaani mchana. Hivyo kama hamna jua basi mwezi nao hautaonekana ingawa utakiwapo.Ikatokea likazima ghafla, mwezi hauwezi kuona ujinga huo na kuvumilia lazima utawaka.
Ili viumbe vyote viweze kuishi vinahitaji kula,chakula tunachokula kinategemea uwepo wa jua ili kiweze kustawi,iwe ni mmea au mnyama au mdudu,bado hujaelewa tu mkuu..?Ila kuna viumbe wao wanaishi chini ya bahari tena huko arctic na antarctica, literally chini ya mabonge ya barafu, maji huko ni way below zero degree, sidhani kama wataathirika. Kwa sisi binadamu na tunaoisho juu ya surface, ni wazi kabisa tutaathirika.
Mimea inategemea jua kujipatia chakula kwa njia ya photosynthesis hivyo jua likizima mimea haitapata chakula hivyo kufa na binadamu na viumbe vingine navyo Vitakufa kwa kukosa chakula sababu mimea inakufa... Mbuzi wanakufa... Na binadamu wanakufa.Habari zenu.
Mimi mi mpenzi sana wa mambo ya intelligence. Ni mgeni kidogo humu jf upande wa kuwa member. Jukwaa hili ndio limenishawishi niweze kuwa member kamili ili niweze shiriki vizuri jukwaani.
Hivi ktk ulimwengu wetu huu, jua kama ndio chanzo cha gravity, nishati nk, ikatokea limezima ghafla, ulimwengu utakuwaje? Haswa hapa ktk dunia yetu, ni nini kitatokea?
Nami baadae nikipata muda nitaingia google/ youtube UNIVERSITY niweze pata mawazo zaidi. Ila kama kuna mwenye kujua kabla, anaweza saidia.
Asanteni.
Upande wa samaki chini ya maji ebu nieleweshe mkuu. Chakula wanapata huko huko chini.Ili viumbe vyote viweze kuishi vinahitaji kula,chakula tunachokula kinategemea uwepo wa jua ili kiweze kustawi,iwe ni mmea au mnyama au mdudu,bado hujaelewa tu mkuu..?
Maelezo mazuri.Mimea inategemea jua kujipatia chakula kwa njia ya photosynthesis hivyo jua likizima mimea haitapata chakula hivyo kufa na binadamu na viumbe vingine navyo Vitakufa kwa kukosa chakula sababu mimea inakufa... Mbuzi wanakufa... Na binadamu wanakufa.
Na pia binadamu wanategemea jua kwa ajili ya vitamin hivyo vitamin ikikosa miilini mwao they are dead.
Jua ndio sources of life on earth ikitokea limezimika basi kila kitu kinazimika Duniani, but kwa vile jua ni energy and energy ina asili ya kuwa neither created nor destroyed basi jua litabakia pale juu eternity maana ni miongoni mwa vitu ambavyo ni immortal and divine.
Ongeza maarifa na huyu bwana Je, Jua ni Mungu? - JamiiForums
Unajua kuna muda mwingine lazima tuzishughulishe akili mno. Yaani ifikie hatua tujue kwamba kipi kinawezekana na kipi hakiwezekani kwa muda gani...?Habari zenu.
Mimi mi mpenzi sana wa mambo ya intelligence. Ni mgeni kidogo humu jf upande wa kuwa member. Jukwaa hili ndio limenishawishi niweze kuwa member kamili ili niweze shiriki vizuri jukwaani.
Hivi ktk ulimwengu wetu huu, jua kama ndio chanzo cha gravity, nishati nk, ikatokea limezima ghafla, ulimwengu utakuwaje? Haswa hapa ktk dunia yetu, ni nini kitatokea?
Nami baadae nikipata muda nitaingia google/ youtube UNIVERSITY niweze pata mawazo zaidi. Ila kama kuna mwenye kujua kabla, anaweza saidia.
Asanteni.
Kwa hiyo unataka kuniambia sio vizuri kufikiri beyond imagination?Unajua kuna muda mwingine lazima tuzishughulishe akili mno. Yaani ifikie hatua tujue kwamba kipi kinawezekana na kipi hakiwezekani kwa muda gani...?
Kuna maswali ambayo watu huwa wanaulizana haliyakuwa kwa kawaida hayawezi kutokea kwa muda huu baki hayatatokea au yatatokea kwa wakati ujao.
Mfano wa swali lako limekaa katika namna hiyo.
Hakuna kufikiri beyond imagination,yaani ukifika huko lazima utakosea. Unajua kila kitu kina mipaka yake,hapa nataka nikupe mfano wa macho,mipaka ya macho iko ya sampuli mbili,mpaka wa kwanza ni kuto ona kile kisichodirikiwa na upeo wa macho yake,hapa pia kuna mifano kadha wa kadha,huwezi kuona kilicho nyuma yako wala kile kilcho zibwa na ukuta,na mpaka wa macho wa kujizuia kutazama vile usivyotakiwa kutazama. Hapa pia kuna mifano kadha wa kadha unaweza kuitafuta mifano hiyo na kuipata.Kwa hiyo unataka kuniambia sio vizuri kufikiri beyond imagination?