nini kinakukera jf?

mi nakerwa na ujuaji, kuna watu wanajifanya wajuaji kutwa kushushua wenzao. pili ushobokeaji, watu humu wananikera kushobokea baadhi ya watu hata kama kaandika ujinga basi unamsifia tu sijui ili iweje
babaeleze bana......
 
Kwani bishanga ameshastaafu kazi corrona funeral home? Si anaendesha ile benzi ndefu inapambwaga maua ya zambarau! Unaniingiza mjini eeh!
King umepiga ikulu,halafu yule mzee wa kichaga wa corona ni rafiki yangu,ngoja ni print post yako nimpelekee pale muhimbili kama hajakufuata na mapanga,mkibosho yule!
 
hahahahaaaa haya bana,Katavi pole ndugu yangu na kumpa misifa yote Husn umeula wa chuya!

heeee! Nilikuwa nishasahau kama leo nakula gud tym na katavi. Katavi baby, come closer.
 
Natamani ningekuwa moderator ili niwe nawafutia posts zao.....lol!! BTW, mie sijambo kabisa chipenzi, nimefurahi kukuona! Habari ya wewe??
Hehehe! Ongea na mimi vizuri ili nikupelekee aplikesheni leta kwa cookie!

Habari yangu njema mpendwa, nimefurahi pia kukuona.
 
Ooh thank you very much swahiba wangu wa ukwee! Me loves you too! Kuonyesha msisitizo mwaaaaaaaaaah!

wenye wivu wajinyonge na big g swahiba. Naomba uniitie katavi. Kuna kitu nataka nimwambie.
 
wenye wivu wajinyonge na big g swahiba. Naomba uniitie katavi. Kuna kitu nataka nimwambie.
Hehehe! Haya mapenzi ya ghafla yameanza lini swahiba?? Ooh maskini shemeji yangu uporoto!

Katavi, Katavi, wee Katavi unaitwa huku chit chat na Husninyo! Anakuja swahiba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…