Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 623
- 582
Habari zanu
Naomba kujua Siri ya mafanikio ya madereva wanaoendesha magari ya serikali (ST), mashirika ya umma (SU) na malori ya mafuta, mtu akishaajiriwa katika sekta hiyo mpe miezi 6 kitambi hicho, unene kupita boss wake Kuna nini hapo. Mliopo kwenye hiyo sekta tupeni Siri ya mafanikio yenu