Nini kinaendelea VodaCom M-Pesa?

Nini kinaendelea VodaCom M-Pesa?

Utamaduni wa kuweka pesa kwenye wallet haukuanzishwa na wajinga vodacom hawana quick response wanaweza kukuadhiri umeagiza kinywaji au umekodi hotel halafu mzigo hautoki
 
Wanaposema pesa iko salama wanamaanisha nini inaweza kuwa salama mwaka mzima hilo siyo lengo letu! System failure Siku ya Tatu?!! Huu ni upuuzi uliopitiliza!
 
Isingekuwa vibakam ni bora kuweka pesa kwenye wallet. Tatizo ni katika utumaji wa pesa.
 
hawa voda wamefanya ujinga sana. Sijui ni customer care gani hii hata taarifa kwa wateja hakuna. Binafsi sijui nitawaamini lini tena na hela. Au magamba wameshakopa na huku?

aaaaaaaghhhh magamba noma deni la taifa wanakopa mpaka kwenye akaunti za mpesa
 
Magamba soo tena mbaya. Wamekwangua mpaka akiba za uzeeni ( nssf). Hofu yangu isije ikawa wamepita na kwenye M pesa.
 
Hivi itokee siku System na Backups zote zimefuta Data zote na pesa kushindwa kuonekana inakuwaje hapo.
Mie natumia ila naweka kiasi kidogo kwa kukwepa kesi kama hizo za System.TIGO wapo vizuri sana kwa kizazi hiki
 
Ni hela ya mawazo sawa lkn combined savings za walalahoi zilizohifadhiwa mpesa v.com ni zaidi ya combined savings za CRDB . NMB na NBC. unaweza usiamini lkn ukweli ndio huo.
kama una mtu pale voda switch muulize hela iliyopo pale na utashangaa mkuu.

Nahis nakuelewa mkuu
 

Attachments

  • mahesa.jpg
    mahesa.jpg
    3.8 KB · Views: 266
Punguzo hadi 50% kwenye vifurushi vya INTANETI BILA KIKOMO! Nunua kifurushi cha siku kwa Tsh. 1000 tu! Kuwezesha bonyeza 1. Kwa ofa zaidi piga *149*01#
 
Vodacom watuambie nini shida jaman..............

yaani hapa hata sielewi
Nasikia wameformat computer zao Mkwanja wote ukapotea kama ndege ya malaysia. Pole sana Mkuu(nakutania)
Nipe habari wangu, Miss u much love. mia
 
Voda washenzi sana. wanatuelekeza jinsi ya kuweka pesa mpesa na sasa m pawa lakini hawatuambii jinsi ya kuchukua hizo savings za mpawa. yaani tuweke tuu kwenye benki tena ya kigeni ? VODA TUMESTUKA. LABDA MUNIIBIE HIZO ZA MPESA TU. wezi wakubwa nyie. mke wangu tangu juzi kanitumia laki nane. niko ugenini Kahama. nina kiu ya bia hela mmeikalia kwenye makalio yenu
siku ya tatu sijakunywa castle lite wala kuchepuka. hapa gesti wameanza kunistukia maana nalala na kula kwa mkopo. Kahama papuchi ni qash qash .
 
... Ni jambo la ajabu sana kwamba katika karne hii ya sayansi na tekinolojia kampuni inafungua 'kikoba' na kuwataka watu kuweka fedha zao humo bila maelezo yanayojitosheleza ya jinsi wateja watakavyopata mikopo ama fedha zao, na serikali inaangalia tu! Na watu wanaweka hela zao! Kweli bongo ni shamba la bb!!
 
Kuliko kutumalizia chaji na meseji za m-pawa bora wangetuambia tatizo liko wapi binafsi hawa jamaa wamenilostisha sana kiukweli
 
Voda washenzi sana. wanatuelekeza jinsi ya kuweka pesa mpesa na sasa m pawa lakini hawatuambii jinsi ya kuchukua hizo savings za mpawa. yaani tuweke tuu kwenye benki tena ya kigeni ? VODA TUMESTUKA. LABDA MUNIIBIE HIZO ZA MPESA TU. wezi wakubwa nyie. mke wangu tangu juzi kanitumia laki nane. niko ugenini Kahama. nina kiu ya bia hela mmeikalia kwenye makalio yenu
siku ya tatu sijakunywa castle lite wala kuchepuka. hapa gesti wameanza kunistukia maana nalala na kula kwa mkopo. Kahama papuchi ni qash qash .

hahaha yaani wife kakutumia pesa halafu we ndio unataka uchepukie.....
vodacom wanasulubu wengi
 
bora hao wahudumu (MADADA) wao wangekuwa na majibu mazurii basiii ukitaka huduma kuptia 100 majibu mabovuuuuu full nyodooooo
 
Nadhani lilikuwa tatizo la nchi nzima au baadhi ya maeneo/miji!

Huduma imerejea majira ya saa sita leo jumapili!

hakuna huduma iliyorudi---bado hawa makaburu wanaendelea kuatamia fedha zetu bila kunradhi yoyote. sasa hivi tu ndio wametuma sms ifuatayo kwa wateja:

NDUGU MTEJA, TUNASHUGHULIKIA TATIZO LA KIUFUNDI KWENYE HUDUMA YA MPESA NA TUNAKUHAKIKISHIA PESA ZAKO ZIKO SALAMA. TUTAKUJULISHA MARA TU HUDUMA ITAKAPOREJEA.
 
Back
Top Bottom