Ngorongoro kunawaka moto. Serikali ya mchongo haina habari na magumu wanayopitia wananchi wake. Serikali iko bize na matajiri wa ROYO TUWA, MAFISADI ya PAPA na chwawa wakeWakuu,
Huko Ngorongoro yanasemwasemwa mengi huko X na bahati mbaya vyombo vya habari havitoi taarifa za kinachoendelea. Mbunge wa huko inasemekana amekamatwa mpaka sasa haijulikani alipo na bahati mbaya kila mtu, kila chombo cha habari na taasisi zingine ikiwemo Bunge na wabunge wenyewe wako kimya.
Haya mambo yatolewe ufafanuzi nini kinaendelea, kwanini mwakilishi wa wananchi hajulikani alipo mpaka sasa. Vyombo vya habari na wana habari wanakiri kila kukicha kuwa wapo huru lakini tunaona jinsi habari zingine wanavyoziepuka!
Tunasubiri tena waraka wa TEC tuone wanachanganya dini na siasa? Nini kinaendelea Ngorongoro?
Kwani Wamaasai wa Ngorongoro thamani yao sawa na wakojani.Wakuu,
Huko Ngorongoro yanasemwasemwa mengi huko X na bahati mbaya vyombo vya habari havitoi taarifa za kinachoendelea. Mbunge wa huko inasemekana amekamatwa mpaka sasa haijulikani alipo na bahati mbaya kila mtu, kila chombo cha habari na taasisi zingine ikiwemo Bunge na wabunge wenyewe wako kimya.
Haya mambo yatolewe ufafanuzi nini kinaendelea, kwanini mwakilishi wa wananchi hajulikani alipo mpaka sasa. Vyombo vya habari na wana habari wanakiri kila kukicha kuwa wapo huru lakini tunaona jinsi habari zingine wanavyoziepuka!
Tunasubiri tena waraka wa TEC tuone wanachanganya dini na siasa? Nini kinaendelea Ngorongoro?
How mbunge akamatwe bila kufuata taratibu na kupotea siku kadhaa hajulikani alipo alafu wote tunakaa kimya? Hata wabunge wenzake? Vyombo vya habari? Wananchi wake? Kama ni mhalifu si zipo njia za kisheria?Cc denooJ tumeshapotezea hili mara hii? Yaani hamna hata mwenye habari? Kwa staili hii serikali itatuchukulia serious kweli kwenye suala la bandari?
Nani kasema hajulikani wakati katiwa Mbaroni na Polisi baada ya kusakwa Kwa siku kadhaa?Wakuu,
Huko Ngorongoro yanasemwasemwa mengi huko X na bahati mbaya vyombo vya habari havitoi taarifa za kinachoendelea. Mbunge wa huko inasemekana amekamatwa mpaka sasa haijulikani alipo na bahati mbaya kila mtu, kila chombo cha habari na taasisi zingine ikiwemo Bunge na wabunge wenyewe wako kimya.
Haya mambo yatolewe ufafanuzi nini kinaendelea, kwanini mwakilishi wa wananchi hajulikani alipo mpaka sasa. Vyombo vya habari na wana habari wanakiri kila kukicha kuwa wapo huru lakini tunaona jinsi habari zingine wanavyoziepuka!
Tunasubiri tena waraka wa TEC tuone wanachanganya dini na siasa? Nini kinaendelea Ngorongoro?
Halafu kuna machawa wanaendelea kuimba na kusifu na kukanyaga watanzania wenzao kwa vipande vya fedha wanazohongwa na hao wabulushi!Ngorongoro kunawaka moto. Serikali ya mchongo haina habari na magumu wanayopitia wananchi wake. Serikali iko bize na matajiri wa ROYO TUWA, MAFISADI ya PAPA na chwawa wake
Mbunge anasakwaje? Yani mbunge makazi yake jimboni na bungeni anasakwaje hajulikani alipo. We jamaa unazinguaga sanaNani kasema hajulikani wakati katiwa Mbaroni na Polisi baada ya kusakwa Kwa siku kadhaa?
Wanakutafutwa wanakupatikana🏃🏃Wakuu,
Huko Ngorongoro yanasemwasemwa mengi huko X na bahati mbaya vyombo vya habari havitoi taarifa za kinachoendelea. Mbunge wa huko inasemekana amekamatwa mpaka sasa haijulikani alipo na bahati mbaya kila mtu, kila chombo cha habari na taasisi zingine ikiwemo Bunge na wabunge wenyewe wako kimya.
Haya mambo yatolewe ufafanuzi nini kinaendelea, kwanini mwakilishi wa wananchi hajulikani alipo mpaka sasa. Vyombo vya habari na wana habari wanakiri kila kukicha kuwa wapo huru lakini tunaona jinsi habari zingine wanavyoziepuka!
Tunasubiri tena waraka wa TEC tuone wanachanganya dini na siasa? Nini kinaendelea Ngorongoro?
Baada ya kufadhili Vijana kukata mapanga waandishi alitokomea kusikojikikana Hadi akasakwaMbunge anasakwaje? Yani mbunge makazi yake jimboni na bungeni anasakwaje hajulikani alipo. We jamaa unazinguaga sana
Clip ipo ikimuonesha akitoa Au pandikiza chuki kwa wananchi kuwa piga na kuwa fanyia vurugu polisi na wanahabariBaada ya kufadhili Vijana kukata mapanga waandishi alitokomea kusikojikikana Hadi akasakwa
Mbunge amefichwa, Lupango au Mung'anda.Mbunge anasakwaje? Yani mbunge makazi yake jimboni na bungeni anasakwaje hajulikani alipo. We jamaa unazinguaga sana
Wewe pia kutojua kinachoendelea ni sehemu ya tatizo nililoeleza.Sasa na wewe badala ya kutuletea hicho kinachoendelea umeleta maneno matupu.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ndio nimekuja kwako nikajuwa utaelezs kuna tatizo gani umetuletea maneno matupu sasa tutajuaje kama wewe unaeleta habari hujui?Wewe pia kutojua kinachoendelea ni sehemu ya tatizo nililoeleza.