Nini kinaendelea Ngorongoro?

Nini kinaendelea Ngorongoro?

Niliwahi sema huko nyuma kwamba waTanzania tunaongozwa na mihemko alafu tunasahau mazima baada ya muda mfupi tunadandia kingine.

Ilitokea loliondo, ikaja ngorongoro, then ikahamia kwa Dugange ajiuzulu, ghafla ripoti ya CAG ikaibuka then kwa Sasa upepo ukahamia kwa Dp World!! Believe me Leo hii Diamond platnumz akisema anajiunga kwenye siasa awe mbunge attention yote itahamia huko na tutasahau kabisa bandari!!

Ni nchi ya ajabu sana hii
Kwahiyo kama haya yote yanatokea kwa wakati mmoja wewe ungependa tujikite kwenye lipi?
 
Haya KKKT watoe waraka kuhusu Ngorongoro si ni huko huko kwao Kaskazini.
Sie TEC tushatimiza letu hapo Feri
 
Tulia yeye yupo kule Mbeya anatetea Mkataba wa Bandari badala ya kusimamia heshima ya Mhimili wa Bunge.

Tuna Spika wa aina yake kuwahi kutokea.
Yaani mbunge achochee vijana kupiga waandishi wa habari, vyombo vya dola vinafanya kazi yake, unataka Spika afanyeje. Yeye anapewa tu taarifa, mtu wako tunae, period. Tatizo kuna watu wapuuzi sana wakishindwa kujenga hoja wanakimbilia mabavu mwisho wanaishia kutumbukia kwenye jinai.

Kwa taarifa yako, Mbunge huyo ameshadakwa akitokea Arusha na anahojiwa kwa kina Karatu. Be informed.
 
Wakuu,

Huko Ngorongoro yanasemwasemwa mengi huko X na bahati mbaya vyombo vya habari havitoi taarifa za kinachoendelea. Mbunge wa huko inasemekana amekamatwa mpaka sasa haijulikani alipo na bahati mbaya kila mtu, kila chombo cha habari na taasisi zingine ikiwemo Bunge na wabunge wenyewe wako kimya.

Haya mambo yatolewe ufafanuzi nini kinaendelea, kwanini mwakilishi wa wananchi hajulikani alipo mpaka sasa. Vyombo vya habari na wana habari wanakiri kila kukicha kuwa wapo huru lakini tunaona jinsi habari zingine wanavyoziepuka!

Tunasubiri tena waraka wa TEC tuone wanachanganya dini na siasa? Nini kinaendelea Ngorongoro?
Samia, Kikwete gangs. Kuwakomoa Watanganyika
 
Kwahiyo kama haya yote yanatokea kwa wakati mmoja wewe ungependa tujikite kwenye lipi?
Tuwe na follow up kujua jambo linaishaje sio kudandia matukio. Kwa staili hii ndio maana Samia anapotezea maoni yetu maana anajua kesho likiibuka jambo jingine mfano Lissu akijiunga CCM basi watasahau yote na kuanza kujadili Hilo mwezi mzima.
 
Ngumu kusahaulika!!!!
Si tupo mkuu, kufikia December tutakua tumesahau tuko busy kujadili Diamond kumrudia Zari!!

CCM wanajua Hilo ndio maana wanatupelekesha wanavyotaka. Hivi si juzi tu hapa tulipigia kelele Bando kupanda bei Leo ni kama Kila mtu kakubaliana na hali!!
 
Wakuu,

Huko Ngorongoro yanasemwasemwa mengi huko X na bahati mbaya vyombo vya habari havitoi taarifa za kinachoendelea. Mbunge wa huko inasemekana amekamatwa mpaka sasa haijulikani alipo na bahati mbaya kila mtu, kila chombo cha habari na taasisi zingine ikiwemo Bunge na wabunge wenyewe wako kimya.

Haya mambo yatolewe ufafanuzi nini kinaendelea, kwanini mwakilishi wa wananchi hajulikani alipo mpaka sasa. Vyombo vya habari na wana habari wanakiri kila kukicha kuwa wapo huru lakini tunaona jinsi habari zingine wanavyoziepuka!

Tunasubiri tena waraka wa TEC tuone wanachanganya dini na siasa? Nini kinaendelea Ngorongoro?
Loliondo WAMEUZA.

Ngorongoro WAMEUZA.

Bandari na Maziwa yote WAMEUZA.

Mlima Kilimanjaro wameshapata MTEJA.

=====

1692781759386.png
 
Ulichokiandika hapa ni tafsiri yako, haki yako.

Lakini kwangu nina mtazamo tofauti kabisa, hasa kwa hili la bandari tulilokaa nalo kwa zaidi ya miezi miwili, na halioneshi dalili ya kupoa mpaka majibu ya maana yapatikane.

Usiishi kwa mazoea, hasa kama suala linalojadiliwa linahusu rasilimali za watanganyika.
Sawa Mimi nitakukumbusha tu wakati ukifika.
 
Ni swala la muda tu huyu anaweza kumzidi hata JPM.
Tofauti ni kuwa JPM alikua anaongea kabisa hakuna hiki wala kile...
Huyu haongei ni vitendo tu anaminya kimya kimya.
Hili swala la ngorongoro vyombo vya habari vimeminywa haviongei chochote
 
Wakuu,

Huko Ngorongoro yanasemwasemwa mengi huko X na bahati mbaya vyombo vya habari havitoi taarifa za kinachoendelea. Mbunge wa huko inasemekana amekamatwa mpaka sasa haijulikani alipo na bahati mbaya kila mtu, kila chombo cha habari na taasisi zingine ikiwemo Bunge na wabunge wenyewe wako kimya.

Haya mambo yatolewe ufafanuzi nini kinaendelea, kwanini mwakilishi wa wananchi hajulikani alipo mpaka sasa. Vyombo vya habari na wana habari wanakiri kila kukicha kuwa wapo huru lakini tunaona jinsi habari zingine wanavyoziepuka!

Tunasubiri tena waraka wa TEC tuone wanachanganya dini na siasa? Nini kinaendelea Ngorongoro?
Akili ikuingie kwamba jambo la kuhamisha watu huko linaendeshwa kibabe na si kwa hiari kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari. Na hii ndiyo tafsiri had mbunge kukamatwa baada ya kutofautiana nao.
 
Wakuu,

Huko Ngorongoro yanasemwasemwa mengi huko X na bahati mbaya vyombo vya habari havitoi taarifa za kinachoendelea. Mbunge wa huko inasemekana amekamatwa mpaka sasa haijulikani alipo na bahati mbaya kila mtu, kila chombo cha habari na taasisi zingine ikiwemo Bunge na wabunge wenyewe wako kimya.

Haya mambo yatolewe ufafanuzi nini kinaendelea, kwanini mwakilishi wa wananchi hajulikani alipo mpaka sasa. Vyombo vya habari na wana habari wanakiri kila kukicha kuwa wapo huru lakini tunaona jinsi habari zingine wanavyoziepuka!

Tunasubiri tena waraka wa TEC tuone wanachanganya dini na siasa? Nini kinaendelea Ngorongoro?
Waandishi wa habari wa Jamvi ya habari walitumwa kwenda kuwashawishi wananchi wa Endulen kuhama.

Sasa inaonekana wamaasai wakausoma mchezo mapema.(wakiwa na Mbunge)

Waandishi wakaonywo kuondoka eneo hilo mapema kwa maana hakuna anayeitaka huduma yao. Ieleweke Jamii ya Ngorongoro inaamini wandishi wa habari wanatumika kupotosha yanayoendelea hapo Ngorongoro.

Hawa waandishi waliendelea kuwashawishi hawa vijana wa kimaasai mwisho wa siku wakatwangwa. Na Mbunge alikuwepo eneo hilo.

Hivyo connect dots.....Mongela anaamini mbunge ndiye aliyewatuma vijana.
 
WaTanganyika tulipata uhuru mapema, tena bure bila kuuhangaikia na kuumwagia damu. Hii imesababisha wananchi na viongozi wetu kutokujua thamani ya walichokipata.

Mfano mwl Nyerere & Karume walifanya muungano wa haraka haraka. Tena usio na mfumo unaoeleweka . Kwa sababu tu walitaka wamdhibiti muarabu asiipindue tena serikali ya mapinduzi ya Zanzibari . Na Zanzibari ibaki salama, Lakini leo viongozi wetu wako radhi kufanya kila wanaloweza kumrudisha muarabu huyo huyo, kwa kisingizio cha uwekezaji. Hata kama wananchi hawataki. Hawa wa leo bora hata ya mangungo hakwenda shule. Hawa wa leo ni madokta !!
 
kinachoendelea Ngorongoro ni balaa na nusu...mimi nashangaa waandishi wetu wako wapi.
Mwarabu sio mtu.
 
Ni Mbunge Wa Chama Gani Huyo?
Waambie Ndugu Zake Wawasiliane Na MWABUKUSI ,awape Makavu Line Wahusika.
 
Waandishi wa habari wa Jamvi ya habari walitumwa kwenda kuwashawishi wananchi wa Endulen kuhama.

Sasa inaonekana wamaasai wakausoma mchezo mapema.(wakiwa na Mbunge)

Waandishi wakaonywo kuondoka eneo hilo mapema kwa maana hakuna anayeitaka huduma yao. Ieleweke Jamii ya Ngorongoro inaamini wandishi wa habari wanatumika kupotosha yanayoendelea hapo Ngorongoro.

Hawa waandishi waliendelea kuwashawishi hawa vijana wa kimaasai mwisho wa siku wakatwangwa. Na Mbunge alikuwepo eneo hilo.

Hivyo connect dots.....Mongela anaamini mbunge ndiye aliyewatuma vijana.
Leo nimeona kwenye page ya Kitenge habari kuu ni wamasai kujeruhiwa na wanyama wakiwa machungani. Habari za kimitego kabisa ili ku justify sababu za kuwahamisha.
 
Ni Mbunge Wa Chama Gani Huyo?
Waambie Ndugu Zake Wawasiliane Na MWABUKUSI ,awape Makavu Line Wahusika.
Ni MBUNGE WA CCM NI MIONGONI MWA WALIOENDA DUBAI KULAMBA ASALI. Ndio maaana nakosa cha kusema.
KUHUSU MORAN KUCHAPA WANDISHI WA HABARI naona Vijana wapewe Maua yao. Hawa Morani walioko Dar wafanye msako pale Wasafi chalaza sana yale mapipa yanapiga domo akina ZEEEEmbwera, MauKhanga na JeruKhando. Piga sana hawa chawa
 
Hivi ule wimbo wa upinzani wa mama anaupiga mwingi bado unasikika huko kwenu?
 
Mh Mbunge wa Ngorongoro mpaka sasa hajaachiwa wala kupewa dhamana. Huu ni ukiukwaji wa haki za binadamu.

Muachieni mbunge wa Ngorongoro! Hii sio sawa hata kidogo.
 
Back
Top Bottom