joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,399
- 41,520
Juzi kati wakati gari limekwama, kuna mchambuzi akawa anasema ni Kiki ya kuzindulia jezi, hii ya leo inaweza ikawa kiki ya tamasha la tarehe nane, so mashabiki wasiichukulie serious.Nimeona hii taarifa kwenye official page ya Club,mwenye kujua kwa undani nini kimefanyika huko Bunju.
View attachment 3641956
Mangungu apepewe, Mangungu apepewe, Mangungu apepewe.............