Nini kinachowavutia wanawake wawaonapo wanaume?

Nini kinachowavutia wanawake wawaonapo wanaume?

Nasubiria Kaizer anipe masharti ya INFIDELITY yaliyopo kwenye katiba

Mojawapo ni kwamba ukienda gesti hakikisha unaingia kwanza na kutoka wa kwanza, marufuku kuongizana na infidelatee,,,,upo hapo?
 
cha kwanza muonekano cha pili pesa ahahahahaaa natania jaman
 
Binafsi mwanamme atanivutia kwa mara ya kwanza kama;

Muonekano;
-atakua smart, mwenye kujijali, msafi, nk
-ana umbo la kuvutia,
-awe mrefu wastani
-mwenye kifua, naweza lala kama kwenye mto

kifikra;
nikiongea naye napenda kusikia maongezi ya hekima, anayeonekana kujali, mtafutaji, asiyekua na tabia ya show-off/bishoo.

Kifehda;
hata asipokua na hela kwa wakati huo, kama anaonekana mtafutaji, hamna shida.

kitufe cha like kama sikoni hivi! Ngoja nikisake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom