bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
naombeni mnijuze wadau!
Mara nyingi wanaume ndo wanakuwa frontline katika kuwatongoza akina dada na kuanzisha mahusiano ya kimapenzi.Isitoshe , mara nyingi utawakuta wakisema oooh huyu dada nimempenda body yake, macho, miguu, kifua,au kiuno hata kutembea kwake.Ile external appearance ya akina dada inamvutia mwanamme kwa kile atakachokuwa ameguswa nacho kabla hajajua undani wa huyo muhusika.
Sasa huwa najaribu kujiuliza, je kina dada nao hii hali inawatokea au la!je akina dada nao wanapokutana na wanaume barabarni, makazini na kwingine kote wanavutiwa na nini kuzingatia physical appearance ya mtu bila kujali/kuangalia mali anazomiliki!
wadau wote, me/ke wa hapa JF naomba mnijuze!