kada wa ccm
Member
- Jan 9, 2011
- 18
- 0
apewe muda tuone labda anasaka watendaji makiniUchaguzi umeisha toka nov 2010,raisi yupo na cabinet yake kashaiteua, na wabunge wapo tayari.Je kwa nini mpaka leo hajateua wakuu wa mikoa?? au ndo mpaka akapige ramli mlingotini??
ANAMSUBIRI LAWRENCE mASHA ARUDI KUTOKA US ALIKOENDA KUTIBU MAJERAHA YA UCHAGUZIUchaguzi umeisha toka nov 2010,raisi yupo na cabinet yake kashaiteua, na wabunge wapo tayari.Je kwa nini mpaka leo hajateua wakuu wa mikoa?? au ndo mpaka akapige ramli mlingotini??
UNANIKUMBUSHA MAUAJI! YA A TOWN. WASHENZI HAWA WATU TENA SANaUshahidi mwingine kwamba wakuu wa Mikoa hawana kazi yoyote - zaidi ya kuwa makada wa Chama Chama Mauaji.
Uchaguzi umeisha toka nov 2010,raisi yupo na cabinet yake kashaiteua, na wabunge wapo tayari.Je kwa nini mpaka leo hajateua wakuu wa mikoa?? au ndo mpaka akapige ramli mlingotini??
Tusitake kukuza mambo hapa! Kwanza sheria haisemi kwamba kila baada ya uchaguzi wateuliwe wengine na wala sheria haisemi ukomo wa muda wa kuteua wakuu hao. Hakuna shughuli zinazolala kwa sababu Makatibu Tawala ambao ndiyo watekelezaji wakubwa wa maamuzi na masuala yote ya utawala wapo na wanachapa mzigo kama kawaida. Isije kuwa kuna watu wana maslahi na uteuzi huo ndiyo maana wanatia shinikizo hapa JF!
Halazimiki kuwa ameshachagua by this time. Na sidhani kama anabanwa na hilo. So tusishangae hilo kutotendeka kwa "wakati" mnaotaka nyie. Tumpe muda afanye kazi zake.
mkuu kuna mchangiaji ameeleza wazi kuwa kuna mikoa mingi ipo wazi kama mikoa mipya na pia dar,kilimanjaro,iringa nk.sio suala la maslahi bali ni gap ktk shughuli za kila siku za uendeshaji wa serikali za mikoa
Uchaguzi umeisha toka nov 2010,raisi yupo na cabinet yake kashaiteua, na wabunge wapo tayari.Je kwa nini mpaka leo hajateua wakuu wa mikoa?? au ndo mpaka akapige ramli mlingotini??
Kwani sheria inasemaje?Uchaguzi umeisha toka nov 2010,raisi yupo na cabinet yake kashaiteua, na wabunge wapo tayari.Je kwa nini mpaka leo hajateua wakuu wa mikoa?? au ndo mpaka akapige ramli mlingotini??
Uchaguzi umeisha toka nov 2010,raisi yupo na cabinet yake kashaiteua, na wabunge wapo tayari.Je kwa nini mpaka leo hajateua wakuu wa mikoa?? au ndo mpaka akapige ramli mlingotini??