Freestyler
Senior Member
- Dec 15, 2010
- 198
- 9
unataka ma-RC ili iwe nini?? kuna jema mnatarajia kutoka CCM au kwa ma-RC??
kwani ni lazima iwe haraka kiasi hivyo?
.....Je kwa nini mpaka leo hajateua wakuu wa mikoa?? au ndo mpaka akapige ramli mlingotini??
Uchaguzi umeisha toka nov 2010,raisi yupo na cabinet yake kashaiteua, na wabunge wapo tayari.Je kwa nini mpaka leo hajateua wakuu wa mikoa?? au ndo mpaka akapige ramli mlingotini??
Inashangaza,wakati ilikuwa inategemewa atangaze Disemba katikati ivi...au labda 'wanavutana' na Rostam na Lowassa; au listi ya fadhila imekua kubwa?
Uchaguzi umeisha toka nov 2010,raisi yupo na cabinet yake kashaiteua, na wabunge wapo tayari.Je kwa nini mpaka leo hajateua wakuu wa mikoa?? au ndo mpaka akapige ramli mlingotini??
Nimeipenda hii ikibdi balaza lake la mawazili,makamba RA Wamsaidie kulinywa shuwainJk huwa ananifurahishaga hapo tu.yani ni mwoga hadi wa kivuli chake mwenyewe.kunywa baba si umelikoroga mwenyewe?