Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Majuzi tumeshuhudia Waziri wa Fedha Dr Mipango akisaini makubaliano ya Tanzania kupata mkopo mkubwa kutoka World Bank na muda huo huo IMF ikitoa taarifa mbaya kuhusu Tanzania.
Je, IMF imeanza kuhujumu serikali ya awamu ya tano kama ilivyoweza kuhujumu serikali ya awamu ya kwanza?
Siku zote IMF ni chombo kinachotumika dhidi ya mataifa ya dunia ya tatu yanayojaribu kujenga uchumi imara bila kuwa tegemezi.
Haiwezekani Leo World Bank watupe mkopo wa mabilioni halafu akatokea kichaa mwingine IMF kuponda uchumi wetu.