mfuaji
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 632
- 1,104
Yeah, nakumbuka wareno waliokuwa kqtika misukosuko waliokuwa wakienda India lakini walipoona sehemu ya ardhi wakajisemea 'a Cape of good hope' yaani rasi ya tumaini jema na hapo ndipo walipoweka kambi yao Kwa madiba.Unaikumbuka rasi ya Tumaini Jema ?