Nini kinachochea mtu kwenda kutembelea kwao?

Nini kinachochea mtu kwenda kutembelea kwao?

Yaani nisiende kuliona kaburi la mama na baba ,nisiende kuwatisha wapangaji kuwa baba mjengo nimerudi aaaagh siwezi kabisa aisee .

Ni hapo nikipataga hela zilizpotea njia napanda hakuna kulala saa kumi na moja niko kwetu ,nikitua begi naenda kibarazani naanza kufoka mpaka wapangaji wote waamke wajue baba mjengo nimefika ,wakiamka ni kikao ndiyo nianze salamu kwa majirani na ndugu ila kikubwa nimerudi kwetu .
 
Kuna jamaa bodaboda Tu ila kwao loilondo amekuja dar 2009 hajawah kwenda kwao hata mawasiliano na watu wake Hana.Hio imekuaje ni fair kweli kutuachia wakati mgumu wa kutafuta ndugu zako ukipatwa majanga.Na mtu anajivunia kabisa kutokuwa na maelewano mazuri na watu wa kwake.
wale LOLIONDO waliouzwa kwa mwarabu wa Dubai na bitozo na mjomba wake mwinyi
Usikute hana pa kwenda maana waliosalia si walipelekwa Msomera
 
Kuna some situations, Unakuta There is no HOME to go to. Yaani either nyumbani kuna makaburi tu au kila mtu ametawanyika kushoto na kukia hivyo hakuna HOME ya kwenda
 
Kuna jamaa bodaboda Tu ila kwao loilondo amekuja dar 2009 hajawah kwenda kwao hata mawasiliano na watu wake Hana.Hio imekuaje ni fair kweli kutuachia wakati mgumu wa kutafuta ndugu zako ukipatwa majanga.Na mtu anajivunia kabisa kutokuwa na maelewano mazuri na watu wa kwake.
Ni ujinga tu wakati mwingine upunbavu unawasumbua watu wa hivyo, akipatwa na shida anaanza kusumbua marafiki badala ya ndugu zake
 
Back
Top Bottom