amakyasya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 3,480
- 907
Wakuu kama mnavyofahamu kuwa usaili wa kazi ya sensa ya watu na makazi mwaka huu 2022 umefanyika nchi nzima wiki iliyopita hadi ijumaa tar 22 July 2022.
Kwa baadhi ya maeneo majibu yalikuwa yanabandikwa mara baada ya usaili kufanyika kwenye kata husika lakini maeneo mengi hadi sasa majibu bado kubandikwa wala kusambazwa mtandaoni.
ni Dar na baadhi ya mikoa mingine halmashauri nyingi tu.
Kwa kuzingatia kuwa semina inaanza ijumaa wiki hii tarehe 29 July 2022, Unadhani ni nini kinachelewesha kuchapisha na kusambaza majibu ya usaili huo hadi sasa?