unamaanisha nini mkuu? Huyu binti anahitaji ushauri wa kitaalam na amekuja ktk jukwaa husika ambalo kuna wataalamu wa matatizo tofauti, ni vipi kama mme wake ni mfanya biashara atampa ushauri gani kuhusu tatizo alilopata? Au wewe ni mtaalam wa kila kitu ktk ulimwengu huu? Hata hospitali pia unaweza kupata ushauri na si kila wakati ni madawa na sindano.Jaman polee Ashuraa,but mume wako ndo ufuate ushauri wake haswaaaa...
Nakushukuru kwa ufafanuzi sasa nimeelewa,ila bado kunakitu kinanisumbua mpaka sasa,kwa mfano unakuta siku mwanamke aliyotegemea kupata hedhi kwa mfano ni tareh 15 lakini inapitiliza labda kwa siku nne mbele ama tano,je kunauwezekano wa kuwa na ujauzito ama ni vichocheo ndio vinasababisha hayo?Hiyo inatokana na mfumo wa vichocheo kubadilika .
Wakati mimba haijatunga vichocheo hufanya kazi ya kitayarisha mirija ya fallopia na nyumba ya uzazi kuanza kuandaliwa kwa ajili ya fertilization (kwenye Fallopian tubes) na kusafiri hadi nyumba ya uzazi(uterus).Mojawapo ya kazi kubwa ya vichocheo ni kuandaa mazingira katika uterus kwa ajili ya kupokea tokeo la fertilization(embryo)kwa ajili ya implantation na kuendelea na hatua zngine za ukuaji hadi miezi 9.
Sasa fertilization isipotokea layer ya damu ambayo iliyoongezeka kwa ajili ya kupokea embryo kwenye uterus hutoka nje kama hedhi.
Kama imetokea ferilization na implantation ,layer ya damu katika uteus haitoki kwa kuwa inahitajika kwa ajili ya ku accomodate embryo ,kwa hivyo huwezi kuona siku za mwezi, hedhi.
Mabadiliko haya husababishwa na vichocheo.
Nakushukuru kwa ufafanuzi sasa nimeelewa,ila bado kunakitu kinanisumbua mpaka sasa,kwa mfano unakuta siku mwanamke aliyotegemea kupata hedhi kwa mfano ni tareh 15 lakini inapitiliza labda kwa siku nne mbele ama tano,je kunauwezekano wa kuwa na ujauzito ama ni vichocheo ndio vinasababisha hayo?
Nashukuru kwa kweli,sasa nipo huru kwenda kujibu maswali niliyoulizwa,maana uiengineer na haya mambo ni tofauti ila kwa kuwa ninawataalam hapa jf basi acha nirudishe majibu kwa wahusika