E Eudorite JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 1,126 Reaction score 755 Oct 24, 2016 #81 nsekwa said: Sasa Shekilango ndipo unajivunia wakati halotel wako bomba nchi nzima? Click to expand... Hapo siongelei halotel. Tuliza mzuka.
nsekwa said: Sasa Shekilango ndipo unajivunia wakati halotel wako bomba nchi nzima? Click to expand... Hapo siongelei halotel. Tuliza mzuka.
Executor JF-Expert Member Joined Sep 29, 2014 Posts 872 Reaction score 997 Nov 7, 2016 #82 Aiseeee nilikuwa nabisha kuhusu Halotel now nimelishuhudia,Halotel kwisha kazi wamezidiwa now yaani dahi kustream YouTube shida doh.
Aiseeee nilikuwa nabisha kuhusu Halotel now nimelishuhudia,Halotel kwisha kazi wamezidiwa now yaani dahi kustream YouTube shida doh.
R Rangoo Member Joined Oct 13, 2012 Posts 99 Reaction score 114 Nov 7, 2016 #83 Ilisolokobwe said: hapo umeongea ukweli mtupu, leo tu nimewatumia ujumbe wa malalamiko kupitia jamii forums na facebook mesenger lakini hadi sasa wapo kimya hawakujibu chochote Click to expand... Nasikia Hawa jmaa huwa hawawalipi Wafanyakazi Wao muda mrefu
Ilisolokobwe said: hapo umeongea ukweli mtupu, leo tu nimewatumia ujumbe wa malalamiko kupitia jamii forums na facebook mesenger lakini hadi sasa wapo kimya hawakujibu chochote Click to expand... Nasikia Hawa jmaa huwa hawawalipi Wafanyakazi Wao muda mrefu
maji maref Member Joined Nov 18, 2016 Posts 63 Reaction score 16 Nov 27, 2016 #84 jaman mazee ka hujasajil line yako kwny halo pesa mtu toka mtandao mwngne akikutumia ela unaeza enda onyesha mesej kwa wakala kisha ifae kutoka?
jaman mazee ka hujasajil line yako kwny halo pesa mtu toka mtandao mwngne akikutumia ela unaeza enda onyesha mesej kwa wakala kisha ifae kutoka?
Imposibo_ JF-Expert Member Joined Feb 1, 2016 Posts 2,746 Reaction score 2,125 Nov 27, 2016 #85 Ukiona wanakua slow angalia bundle lako
itara JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 2,240 Reaction score 1,576 Nov 27, 2016 #86 Mtoa mada alikuwa anataka kuwaongelea tigo
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,852 Nov 28, 2016 #87 nyie mnaolalamika mpi sehemu gani,mbona sisi huku pande za Arusha mambo fresh tu. ngoja tusubiri labda zamu yetu bado..
nyie mnaolalamika mpi sehemu gani,mbona sisi huku pande za Arusha mambo fresh tu. ngoja tusubiri labda zamu yetu bado..