wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,171
- 1,129
Ukisema wafanyakazi wananyanyaswa ni kuchagua yeye anaenyanyaswa unabwaga unaangalia tatizo mnataka kuvuna pasi na kupanda maisha popote jiamini short cut ina costWafanyakazi wananyanyaswa unadhania huduma zitakuwa bora?!!
Voda 1MBs kitambo..skuiz ndo hakamatik,hapo hujaunga voda 4Ghaahaha kwa sasa voda au tigo wanafika 1MBps
mina nazani watu wameshaongezeka sasa ndo inaleta shida ila mida ya asubuhi inakuwa fresh ata hivyo halotel bado tunawaamini ni wepesi kusikiliza mwanzo kulikuwa kuna tatizo la mb kwenda haraka ila sasa naona wameboresha ilo kama una mb 600 kwa matumizi ya kawaida utatumia wiki nzima bila kuishaZamani ht LIVESTREAM nilikuwa nacheki fresh lakini siku hizi haiwezekani inakwamakwama...sema kwa bongo sijaona mtandao mwingine wa kukimbilia maana nina experience na majanga ya Tigo ,voda ,Aittel zote ziliniboa
Mdau wa ndani kabisa alinijuza wanalaunch kifaa kipya kwa ajili ya 4G LTE itachukua miezi miwili kurudi kwenye ubora wao au zaidi
tofauti ipo tena kubwa sana kipindi wanaanza na walivyo sasa hili hata wenyewe wanajua kwa namna watu wanavyo walalamikia cha ajabu sijui ni kwa nini hawana ufumbuziNyie mtakuwa watu wa tigo yaani sisi tunavyotesa na Halotel bye mnalalamika!
tatizo mb zinaliwa fasta mno
Inategemea ni saa ngapi na ni maeneo gani. Maeneo ya vyuo mlipo jazana lazima sipidi ipungue.Hamna kitu mkuu, speed imepungua sio kama mwanzo
Ni kweli. Airtel wamekuwa ghali sana. Voda wana nafuu kidogo ya bei na mijini internet yao iko vizuri.Kurudi Airtel ni sawa na kushuka kwenye basi na kupanda mkokoteni
TTCL iko posta na Kariakoo pekee hata ubungo haishiki!Ni kweli. Airtel wamekuwa ghali sana. Voda wana nafuu kidogo ya bei na mijini internet yao iko vizuri.
Kwa walioko Dar internet ya kasi na bei poa inapatikana TTCL. kitu cha 4G LTE ya ukweli.
Si kweli. Naishi shekilango.TTCL iko posta na Kariakoo pekee hata ubungo haishiki!
Sasa Shekilango ndipo unajivunia wakati halotel wako bomba nchi nzima?Si kweli. Naishi shekilango.