Nini kimewakumba Halotel?

SASA MBONA MNALALAMIKA NYIE SISI MAMBO YETU NA HALOTEL BADO YAPO VIZUR NA SPEED ILE ILE AU MNAMAANISHA NN MBONA MM NAONA KAMA MWAONGEA UONGO NYIE ACHEN UNAFKI NYIE TIGO
acha masihara bana unanitia hasira tu,huwa unaangalia mpira live,tv au kudownload???? anyway leo angalau kidogo tofauti na jana
 
Hawa wazushi kabisa, sitak hata kuwasikia.....
 
Mi natumia halotel speed iko vizuri tu naangalia mpira movie's iko bomba line ya tigo Voda airtel zantel nimeweka pembeni
 
SASA MBONA MNALALAMIKA NYIE SISI MAMBO YETU NA HALOTEL BADO YAPO VIZUR NA SPEED ILE ILE AU MNAMAANISHA NN MBONA MM NAONA KAMA MWAONGEA UONGO NYIE ACHEN UNAFKI NYIE TIGO
halotel hata kama wakipungua nguvu kidogo kwa hapa kwetu Tz bado hatun mahali pa kukimbilia kupata internet iliyotulia kama halotel
 
Ni kweli mazee
Siku hizi ht kuangalia video clip Instagram ni kwa kubahatisha
 
Hahaha jamaa wewe itakuwa sehemu ulipo inazengwe Halotel wako vizuri hasa ukanda wote wa pwani speed yao bado mwendo kasi sijaona mtandao wa kucompare na Halotel aisee,Tukitoa internet kwenye sms ndo hatareeee...
 
Ongea kwa ushahidi..weka hapa speedtest ya halotel tuamini maneno yako,binafsi kwa sasa nipo pwani..speed ime drop sana,otherwise usubir usiku sana ndio speed at least inakua poa.
 
SASA MBONA MNALALAMIKA NYIE SISI MAMBO YETU NA HALOTEL BADO YAPO VIZUR NA SPEED ILE ILE AU MNAMAANISHA NN MBONA MM NAONA KAMA MWAONGEA UONGO NYIE ACHEN UNAFKI NYIE TIGO
Mhhhhhhh kwenye ukweli usemwe kwani uongoooo
 
Ongea kwa ushahidi..weka hapa speedtest ya halotel tuamini maneno yako,binafsi kwa sasa nipo pwani..speed ime drop sana,otherwise usubir usiku sana ndio speed at least inakua poa.
That's ie true watejaa wamkuwa wengi
 
Mdau wa ndani kabisa alinijuza wanalaunch kifaa kipya kwa ajili ya 4G LTE itachukua miezi miwili kurudi kwenye ubora wao au zaidi
 
Ni kweli mazee
Siku hizi ht kuangalia video clip Instagram ni kwa kubahatisha
kiukweli we ndo nimeona umeongea ukweli kuplay clip insta ni bahati ila kwa hawa wengine wanazungumza uongo youtube naangalia ata muvi bila kukwama kwama af mb za halotel zinakaa mda mrefu haziishi haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…