Dp800
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 2,310
- 4,714
Sijaingia stackoverflow tangu juzi sasa leo nimeingia nimekuta ma rangi rangi ya ajabu hadi nikahisi nimeingia kwenye site tofauti,Nimejaribu kuchek acount yangu naona ipo sawa. Sasa emu wadau wenye taarifa zaidi tujuzane hizi rangi ni za nini au zinamaana gani?