Nini kimetokea mpaka marais watatu wenye asili ya Ukristo wakafa ?

Kifo siku hizi kina dini?,ukondoo ni ukichaa ulio changa mka
 
Mzee Mwinyi alikuwa ni muislam , na Rais aliyebaki hai ambaye hayuko madarakani ni mmoja tu Mh Jakaya. Sioni kama kuna hoja ya msingi hapa. Halafu fanya utafiti watu wa pwani wanaishi muda mrefu sana kuliko watu wa Bara. Angalia mzee wa pwani anaweza kuwa mtaani anapambana kuuza hata kahawa lakini mchukue mzee wa bara mwenye umri sawa na huyo wa pwani, wa Bara utakuta tayari kazeeka anahudumiwa na watoto. Huo ni mtazamo wangu.
 
Nini kimetokea mpaka taifa likapoteza marais watatu wenye asili ya ukristo je tunahitaji fungua kesi ya wazi kujibu hili swali gumu?
Wewe umeishiwa hoja wewe mpumbavu
Unataka kuleta udini kwenye Taifa letu
Unaleta swali lenye ukakasi ili kuamsha hisia za kidini

Ukishiwa hoja tulia acha upuuzi
 
Kwamba na wale wafe tukose wote?

Hii SI sawa. Labda kama una ushahidi.
 
Mzee Mwinyi alikuwa ni muislam , na Rais aliyebaki hai ambaye hayuko madarakani ni mmoja tu Mh Jakaya. Sioni kama kuna hoja ya msingi hapa. Halafu fanya utafiti watu wa pwani wanaishi muda mrefu sana kuliko watu wa Bara. Angalia mzee wa pwani anaweza kuwa mtaani anapambana kuuza hata kahawa lakini mchukue mzee wa bara mwenye umri sawa na huyo wa pwani, wa Bara utakuta tayari kazeeka anahudumiwa na watoto. Huo ni mtazamo wangu.
mpumbavu wewe
 
Back
Top Bottom