Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,774
Badala yakucheka nimejikuta natoa machozi... Hivi hatuna hata yale magari ya kuvutia ndege?
Jr
Sasa ukilia wakati umeambiwa mgonjwa ana mafua je ukiambiwa ni terminal illness?
Badala yakucheka nimejikuta natoa machozi... Hivi hatuna hata yale magari ya kuvutia ndege?
Jr
......Beberu mkubwa we !
😎😎Zinaitwa terrible teens
Jr
ule ndio uzalendo wenyewe , wananchi wameamua wenyewe kusukuma ndege yao , Hapa Kazi Tu !beberu ana harufu ya kibeberu
Yataletwa mpaka pale Chatto International Airport itakapokamilikaBadala yakucheka nimejikuta natoa machozi... Hivi hatuna hata yale magari ya kuvutia ndege?
Jr
God is watching....!!!!Yataletwa mpaka pale Chatto International Airport itakapokamilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hakuna wasomali watanzania?!!Sasa ngoja waje uvccm msikie majibu yao mpaka unashangaa kama hawa ni watanzania kweli au ni wasomali
NI msaliti na anastahili wanachopewa wasaliti.Beberu mkubwa we !
Kabisa mkuu ! mbona maiti kule kwetu kajunjumele tunazibeba kwenye mikeka bhana na virukuu vipo !Mbona si jambo lakushangaza..
Kuna nyakati nyingine lazma watu watumie maarifa sio lazma kukariri kila jambo
Mkuu nazungumzia wasomali, au na wewe ndiyo walewaleKwani hakuna wasomali watanzania?!!
Maarifa yanayopoteza muda ni ujinga!!Mbona si jambo lakushangaza..
Kuna nyakati nyingine lazma watu watumie maarifa sio lazma kukariri kila jambo
Umeleta picha ya kudhalilisha uzalendo wa nchi na uthubutu wa viongozi wetu!!Nani sasa?? Kwani mimi beberu???
Mambo ya Bongo ni changamoto..Badala yakucheka nimejikuta natoa machozi... Hivi hatuna hata yale magari ya kuvutia ndege?
Jr
Naweza kuzirai kabisaSasa ukilia wakati umeambiwa mgonjwa ana mafua je ukiambiwa ni terminal illness?