Nini kimesababisha CHADEMA wajitenge na UKAWA?

CHADEMA walishamaliza kazi ya kviua vyama vya NCCR na CUF sasa wawang'ang'anie wa nini tena?
Kweli kabisa mkuu huku nilikotembelea Leo ilikuwa ngome ya cuf ila sasa vijana wote wameamua kuingia ccm maana chadema inawavuruga na ukawa fake.
 
teh teh teh,mnajitekenya wenyewe halafu mnacheka wenyewe pia
 
Lizibon bila kuandika ukawa mkono hauingii kinywani???? Mbona huongelei wabunge wa ccm walivyolalamikia maisha magumu na bunduki 14 zilizokamatwa kwa mbunge wa chama fulani
 
mbona unashindwa kuandika ukawa ndio imefanya cuf kuwa na wabunge wengi zaidi kuliko hata enzi za bwana yule!

mgaya na nyoni!
 
ccm.jpg
MBELE KWA MBELE.jpg
MBWIGA.jpg
UVCCM_wakipigana.jpg
 
Lissu na Lowasa walimdanganya maalim seif eti agomee uchaguzi, Lissu akijitanabahisha kwamba atasimamia kesi na watashinda.
Bisa kujiongeza maalim Seif akaingia mzima mzima, sasa amebaki analia na moyo
 
Si siri tena kuwa UKAWA umevunjika. Vipo viashiria vingi vinavyoelezea kuwa umoja huo haupo tena na kila chama kinaenda kivyake.
Ni kweli,ndio maana Meya wa ubungo ametoka Chadema na Naibu wake ametoka CUF na diwani wa CCM akakipigia kura ya ndio UKAWA!
Viongozi wa UKAWA hawajitokezi mbele ya waandishi wa habari kueleza mambo kadhaa ya kisiasa na kijamii.
Huu si unafiki.Hivi hujui kuwa Serikali ya CCM imepiga marufuku mukutano ya kisiasa nchi nzima isipokuwa kwa viongozi wa kisiasa wa CCM na Mamluki wao tu. Juzi tumeshuhudia Maalim Seif alipokatazwa kufanya mkutano wa kisiasa wa ndani kule Tanga na jeshi la polisi. Sasa nyia mabotea ya CCM mlitakaje?
Kwa ujumla yapo mengi sana. Nimeweka haya tu kwa lengo la kukoleza mjadala.
Umeyaweka yote yanayo tekenya kikomo cha mawazo yako ya kufikiri. Mjadala haukolei kwa kuni mbichi na mawazo potofu ya vijiweni
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Si siri tena kuwa UKAWA umevunjika. Vipo viashiria vingi vinavyoelezea kuwa umoja huo haupo tena na kila chama kinaenda kivyake.

  1. Hakujawahi kufanyika kikao cha UKAWA tangu Julai 2015
  2. Viongozi wa UKAWA hawajitokezi mbele ya waandishi wa habari kueleza mambo kadhaa ya kisiasa na kijamii.
  3. CHADEMA wametangaza Opersheni UKUTA bila ya kuwashirikisha vyama vingine washirika wa UKAWA.
  4. CHADEMA wamepeleka wazee wao Dodoma kusimamia wabunge wao ili muswada wa vyombo vya habari usipite bila ya uwepo wa Wazee wa vyama washirika wa UKAWA.
  5. Vikao vya pamoja vya wabunge wa UKAWA sasa havifanyiki tena bali vikao vya wabunge wa CHADEMA.
Kwa ujumla yapo mengi sana. Nimeweka haya tu kwa lengo la kukoleza mjadala.

Harusi ilishafanjika 25 Oct 2015 na ndoa ikavunjika 05 Nov 2015, unataka bado waendele kuchangisha michango ya haruri?
 
Lissu na Lowasa walimdanganya maalim seif eti agomee uchaguzi, Lissu akijitanabahisha kwamba atasimamia kesi na watashinda.
Bisa kujiongeza maalim Seif akaingia mzima mzima, sasa amebaki analia na moyo
Wanaolia zaidi Zanzibar mpaka wamebiduka hata midomo yao, maneno hayatokii ni CCM.Sasa mbali ya sauti yake lakini hata kivuli cha Maalim Seif kinawatesa.CCM Zanzibar wanapita wakilalama kuwa sasa Maalim asisali msikitini,wafuasi wake wanaongezeka,asifanye mkutano, asichanganyike na watu,asihudhurie misiba n.k.
 
Inakuhusu nini wewe. Mbona unamatatizo mengi. Yashughulikie acha kuhangaika na watu wenye nafuu. Umeya ubungo ni ukawa. Dhambi yako ya advance ya kijani itakupasua kichwa.
 
Sina matatizo. Nimeeleza uhalisia
 
Harusi ilishafanjika 25 Oct 2015 na ndoa ikavunjika 05 Nov 2015, unataka bado waendele kuchangisha michango ya haruri?
Sio tu harusi imefanyika tarehe 25 Oktoba 2015 lakini waume waliingia ndani na harusi ikajibu(kizinda kuraruliwa).Ndoa haikuvunjika isipokuwa mwari kakimbizwa kuikimbia fungate! Huko aliko tuna lala tukiamka nae!
Ni vigezo gani umetumia kupima akili za hao "CCM wote" vitumike kupima yako pia
Vigezo vilivyotumika ni vya Mirembe,Dodoma Makao Makuu ya CCM!
Ukawa inakufa kufa
Masele kawaumbua leo bungeni, hio ndio story iliyopo, inayohit na jana ni Jenista kuzomewa na wabunge wa CCM.
Muda di mrefu zimwi hilo hilo litatumika kuwamaliza CHADEMA wenyewe
Muda si mrefu UKAWA utatumika kuwamaliza CCM na Mamluki wao.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Si siri tena kuwa UKAWA umevunjika. Vipo viashiria vingi vinavyoelezea kuwa umoja huo haupo tena na kila chama kinaenda kivyake.

  1. Hakujawahi kufanyika kikao cha UKAWA tangu Julai 2015
  2. Viongozi wa UKAWA hawajitokezi mbele ya waandishi wa habari kueleza mambo kadhaa ya kisiasa na kijamii.
  3. CHADEMA wametangaza Opersheni UKUTA bila ya kuwashirikisha vyama vingine washirika wa UKAWA.
  4. CHADEMA wamepeleka wazee wao Dodoma kusimamia wabunge wao ili muswada wa vyombo vya habari usipite bila ya uwepo wa Wazee wa vyama washirika wa UKAWA.
  5. Vikao vya pamoja vya wabunge wa UKAWA sasa havifanyiki tena bali vikao vya wabunge wa CHADEMA.
Kwa ujumla yapo mengi sana. Nimeweka haya tu kwa lengo la kukoleza mjadala.
mkuu samahani mkuu hii ni post yako ya ngapi leo
 
Sio tu harusi imefanyika tarehe 25 Oktoba 2015 lakini waume waliingia ndani na harusi ikajibu(kizinda kuraruliwa).Ndoa haikuvunjika isipokuwa mwari kakimbizwa kuikimbia fungate! Huko aliko tuna lala tukiamka nae!
Vigezo vilivyotumika ni vya Mirembe,Dodoma Makao Makuu ya CCM!

Masele kawaumbua leo bungeni, hio ndio story iliyopo, inayohit na jana ni Jenista kuzomewa na wabunge wa CCM.
Muda si mrefu UKAWA utatumika kuwamaliza CCM na Mamluki wao.
Kwa Serikali mpya hakuna asiyeisoma namba, si mimi, wewe, yeye, wao nk.

Cheo ni dhamana hivyo hao wabunge wanaozomea kuaambiwa ukweli, wameisoma namba tayari.

Wewe uliyezoea kufanya mambo kienyeji umebanwa vilivyo. Umebaki kulalama, kushutumu na kuomba dua mbaya humu mtandaoni.

Kama ulizoea vya kunyonga, jifunze kuchinja
 
Back
Top Bottom