Nini kimempata Mzee Warioba?

Taharuki kidogo.
 
Ninaamini atakuwa sawa
 
Wakati anaongea pumzi yake ilikuwa inakata taratibu na nilishangaa hakuna aliyekuwa ana notice upumuaji wake. Nilitamani hata kufungua uzi hapa wasaidizi wake wamsaidie
Sasa kwa nini hukufungua uzi “ili wasaidizi wake wamasaidie?”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…