Nini kimempata Lucas Mwashambwa?

Nini kimempata Lucas Mwashambwa?

Ndugu yangu Lucas Mwashambwa kapatwa na nini siku hizi?

Zamani alikuwa anaandika mabandiko mareefu yenye ucheshi ndani yake na alikuwa anawajibu watu kwa ucheshi vile vile.

Lakini siku za hivi karibuni naona kama maji yamezidi unga. Luka kajilipua na majibu yake yamekaa kishari sana.

Nini kimembadili mkulima Luka asiyetaka cheo au kuteuliwa bali kutetea chama chake?

Hizi lugha za kuudhi za watu wa mjini Luka kazitoa wapi?
Ana bed rest
 
Mbona huwa hujibu swali Langu.Je wewe ndiye uliyekuwa unafanya uchambuzi wa Masuala mbalimbali ya kijamii katika Redio Ebon ya Iringa kila jumamosi .kipindi kilichokuwa kikiendeswa Na Neema msafiri A.K.A Mama John .ukishirikiana na Mwalimu wa Pale MUCE? Au majina yanafanana tu. Maana naye alikuwa Anaitwa kwa jina lako. Ila kama ndio wewe nakupa pongezi maana mlikuwa mnajitajidi sana kufanya uchambuzi mzuri na usioegemea itikadi za kisiasa.lakini vile vile mlikuwa mkizungumza kwa hoja nzuri.

Kama siyo wewe basi kaa pembeni huko kama abiria anayesubiri usafiri stendi.
Akichambua ulikuwa unabubujikwa na machozi?+
 
Wenzake wameingiziwa 1bil wakae kimya Mama anywe damu za wadanganyika yeye sasaa.....IGP ananunulika kwa 1bil aue watanganyika sababu mzbar atawale kwa upanga....shame kwako wambura......shamee wakurya na wajita hawako hivyooo shameee
 
Back
Top Bottom