GE2025 Nini kimempata Fatma Karume?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani yule ni mzanzibari au mtanganyika? Jibu utalipata hapo
 
Kuishi Marekani kunahusikanaje na hoja abstract?

Swali ni, kwa nini mna expectations zote hizi kwa Fatma Karume, mtu ambaye si mfanyakazi wa serikali wala mpigiwa kura na watu, kwa nini mnamfanya kama some pillar of society?

Akisema kaenda kuhiji Mecca na sasa anajikita zaidi kumrudia mola wake haya mambo ya dunia anajiondoa polepole mtasema nini? Mtasema ni lazima awe activist wa nguvu?
 
Ni haki yake kikatiba hajapatwa na lolote tumtakie safari njema
 
Ni siasa tu, siasa watu wanabadilika, unaweza amka ukakuta Lissu yuko zake CCM na gwanda la kijani.
Mwanasiasa kubadilika ni sekunde tu maslahi yake(sio yako) yakitimizwa
 
Uzanzibari na Udini; wanadhani wamejipata, huku maisha yao yote wakila na kunywa Tanganyika.

Fatma Karume ni mdini kupindukia, na Mkabila kupindukia(kama Uzanzibar ukiwa Kabila)
 
Unaposimamia haki siku ukikengeuka utakumbushwa na sio vibaya
 
Kavaa mawani ya mbao!
 
Lakini mhimu si kafikisha ujumbe unaotakiwa kwa maslahi ya wengi hayo mengine ni yake binafsi na hayana msingi wowote na pia hayana uthibitsho huo wa kupanda kisiasa
 
Ameshajua wafuasi wa Lissu wengi wao akili zao sawa na za ng'ombe tu.
 
Anamsakama nani aliyekuwa anafanya kipi alichokifanya hapo nyuma?

Unajuaje anamsakama na si kwamba anasema ukwwli tu?

Hicho alichokifanya hapo nyuma ni kipi?
Wewe endelea na ligi zako
Ila kama ulikuwa unamfuatilia fatuma karume kipindi cha magufuli mpaka akanyanganywa leseni ya uwakilu utanielewa ila kama unataka tu ligi wewe endelea
 
Ila tabia ya mtu kutoa maoni tofauti alafu wale tuliokuwa tunamwamini ndo tukawa wa kwanza kumdhihaki inaonesha ni namna gani hatuna subira.
Ukihisi mtu amekwenda tofauti na ulivyomzoea, mpe muda kwanza, sio kumshutumu haraka vile.

Lakini pia, sisi tunaotick October, tushajua udhaifu wenu😀. Nyie jamaa kwa kunata na biti hamjambo, sasa na sisi tunawapa vitu kila baada ya siku mbili mpaka mnatoka kwenye agenda yenu bila kujijua, jifunzeni kubaki kwenye mstari, mengine yawapite kama hamjayaskia, sisi huku tuna watu wa propaganda, tukiona mmetulia, tunawawekea inshu, paaaaa😀, wote mnajaa then sisi tunapitisha chap jambo flani. Ester tulimtuma ila mlituweza vile hamkushadadia kiviiiile😀😀😀.
Jifunzeni kubaki kwenye mambo yenu, mnakuwa na vitu vya msingi sana ila hamtulii😀.
Na sisi hatuchoki, sasa ivi bado mnanata na biti ya arise and shine, povu linawatoka kila upande, ikikalibia kesi ya bosi wenu tunatupia jambo jingine then huku hakimu anahairisha kesi mpaka october😀😀😀.

Jifunzeni kutulia kwenye inshu zenu, kila saa kufatafata mambo yetu tu... ndio maana hamuendelei. Tumewasimamisha mikutano ya kisiasa, badala ya kuendelea na kampeni yenu kwenye mitandao nyie mnakomaa leo mama kaenda komoro, mara majaliwa kaachia ngazi, inawahusu nini kwani, ndio agenda yenu?
 
Wewe endelea na ligi zako
Ila kama ulikuwa unamfuatilia fatuma karume kipindi cha magufuli mpaka akanyanganywa leseni ya uwakilu utanielewa ila kama unataka tu ligi wewe endelea
Nimeshaandika a very balanced post going laps around this topic, that is, a post that sparwd neither Fatma nor her detractors, with quotes from Solzhenitsyn.

Tatizo hujasoma tu.

Unataka nikupe namba ya post uisome?
 
Kumbe ndo mbinu zinazotumika kuwatoa watanzania kwenye reli kwa kutumia wanasiasa Malaya Malaya kama Ester, Fatma, Zitto n.k.!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…