Nini kimempata Dr. Mwigulu Nchemba?

Mkuu ungepiga hata kapicha ili tuone alivokua.
 
Hana furaha tena na maisha ya kisiasa,anatafuta faraja.
 
Duh! Maumivu ya kichwa huanza taratiibu, Kariibu Huyu mchawi Tb Joshua ataabudiwa.
 
Hivi wewe? Angeomba chumbani kwake mungu hamsikilizi???? Kwa TB Joshua Kuna zaidi ya Hilo la maombi.

Kuna imaani za kishirikina..
 
Una imani potofu Sana Mkuu. Soma uelewe..mengine yanahitaji uelewa mdogo
Acha urongo biblia inasema nalikujua tangu ukiwa tumboni mwa mama yako.hata uombe vipi kama Mungu hajapanga haitokuwa
 
Kuratibu kifo cha Sengodo Mvungi.
 
Una uhakika kuwa waliotabiriwa hawakushinda kweli?

Kuna tofauti kati ya kushinda na kupewa mamlaka ya kuongoza.
 
Kwahiyo wewe unaamini Mungu anaweza kusema jambo na kisha mwanadamu na shetani wakazuia?
Refer kwa Daud aliyepingwa na Sauli asiwe mfalme lakini neno likasimama.
Kuna video inaonyesha TB.Joshua akimtabiria Lowasa kuwa atang'oa kiti cha urais 2015. Huyuhuyu pia alimtabiria Clinton. Torati 18:18-21. Inasema mtu akitabiri jambo na halijatimia Hugo hajatumwa na Mungu. Haijalishi kuwa lipo alilowahi kutabiri na likatokea.
Una uhakika kuwa waliotabiriwa hawakushinda kweli?

Kuna tofauti kati ya kushinda na kupewa mamlaka ya kuongoza.
 
Nafikiri matukio mengi sana ya kusikitisha yametokea chini ya uongozi, either alikuwa anatumwa au la, Mungu pekee ndio anajua, kisasi ni kazi ya Mungu, yeye aliamua kukaa kimya na kuacha uovu utamalaki, Mungu pekee ndio anajua kipimo sahihi cha matendo yake au uhusika wake.
 
Hahahahaaa sasa kienda huko atasafishika na dhambi hizo mkuu?
 
Hivi wewe? Angeomba chumbani kwake mungu hamsikilizi???? Kwa TB Joshua Kuna zaidi ya Hilo la maombi.

Kuna imaani za kishirikina..
Kama hivyo ndivyo, basi watu tusingekuwa tunaenda kufanya maombi kanisani/masjid ili tukae tu ndani na tuombe tukiwa chumbani...[emoji30][emoji30]
 
Nafikiri matukio mengi sana ya kusikitisha yametokea chini ya uongozi wake, either alikuwa anatumwa au la, Mungu pekee ndio anajua kipimo sahihi cha matendo yake au uhusika wake, yeye ndio mtoa hukumu wa haki, kisasi pia ni kazi yake, kipimo kile walicho wapimia wengine ndicho hicho hicho na wao watapimiwa.
 
Sawa kwani Tanzania hakuna makanisa? Mpaka Nigeria? Kweli iman kitu mbaya Sana.
Kama hivyo ndivyo, basi watu tusingekuwa tunaenda kufanya maombi kanisani/masjid ili tukae tu ndani na tuombe tukiwa chumbani...[emoji30][emoji30]
 
Abdul mondo
Tesha
Bomu LA olasiti
Diwani was arumeru
Ugaidi lwakatare
Kijana wa Ndago
Kifo cha Dr. Mvungi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…