Nini kimempata Dr. Mwigulu Nchemba?

Yesu ni kwakila mtu wakila hari na alika
Yesu gani huyo aliyeko Nigeria, halafu ni Yesu gani huyo ambaye anawekwa akiba ili atumike wakati wa shida tu, mbona wakati wa raha hakuwahi kwenda huko aahaaa, kumbe wenye afya hawamhitaji Daktari bali walio hawawezi.
 
Afadhar ameonekana huko kuliko angeonekana kwa sangoma.....matatizo kila MTU anayo mtaalam......ila wengine ni vile hatujui tukimbilie wap kwnye msaada
 
Bado mengi yatajitokeza,tuongeze dua kwa Jiwe...
 
Kila akienda huko habari njema huwa zinatajwa kwake.
 
Nimepata taarifa kaenda kutubu na kuungama mabaya yake yote...
 
Anaogopa nguvu ya karma maana alifanya uhuni mwingi sana
 
Sio mara ya kwanza kwenda huko, kabla ya serikali ya JPM haijaingia madarakani alikwenda pia
 
Acha tu nimuonee huruma.. Maana wanaotumbuliwa wote huwekwa kwenye kona ambayo hawafurukuti kabisa... Hata zile chenchi na bakshish huwapitia mita mia
 
Kila la heri kwake. Kigwangala alipona kwenye ajili na kurudi Nzega waganga wa kienyeji na watumishi wa Mungu wote alihitaji huduma zao.
 
je wewe umgeni peke yako humu mnjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…