Nini kimempata Dr. Mwigulu Nchemba?

...yeah nasikia kipindi chake maiti ziliokotwa sana pembezoni mwa mito,bahari etc
....inawezekana anajua nini kilifanyika kaamua kwenda kunyutrolizi karma mkuu
 
Nikikumbuka huyu jamaa alivyozunguka na Yule kijana aliyemwagiwa tindikali kwenye uchaguzi kutafuta umaarufu huwa nakereka sana hata kumuona tu huyu Dr aliyefeli in every ministry aliyopewa.
 
...yeah nasikia kipindi chake maiti ziliokotwa sana pembezoni mwa mito,bahari etc
....inawezekana anajua nini kilifanyika kaamua kwenda kunyutrolizi karma mkuu
Anajiongopea ... damu za watu wengi sana na roho zao zina mlilia ... bado mke wa azory gwanda " ndugu wa ben saa 8 mioyo yao inafukuta kwa uchungu wakupotezwa kwa vipenzi vyao .. so sidhani kama hiyo karma itamuacha kiurahisi namna hiyo
 
TB.Joshua huyuhuyu wa kuwatabiria Wanasiasa maarufu 4 kutoka Tanzania kuwa watakuwa marais 2015?
Tena kila mtu alimtabiria kwa wakati wake.
Mmoja kati yao akapata.
Mungu hafanyi bahati nasibu, hana mikunjo.
Yule ni msanii tu ila watu wanamkubali mpaka hawaambiwi kitu.
 
ameenda kutubu maana roho yake itakua imeanza kumuhukumu kwa ushenz alioufanya kwa raia wema, pole sana mwigulu Mungu akurehem
Mkuu vp ushaacha kaz ya udereva kwa muhindi??
 
ok
 
Mwishoe mtahoji kwanini watu wanaenda chooni!! Yaani kumuona Emanuel Tv basi unahisi anashida? Kweli watanzania tunashida.
 
rekebisha "habari" Tb Joshua "siyo mtumishi wa MUNGU"
 
Ilikuwa ni LIVE au ni marudio,maana nakumbuka aliwahi kwenda kule miaka 3 au 4 iliopita..
 
Mwigulu Viroba vya maiti.Huyu jamaa we acha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…