Nini kimemkuta Idris Sultan?

Wee uko hapa kufanya nn? Si uende huko unakoona kuna kufaa?.
Em kwendraaaa huko!! Mxxxiiiiiieeeeew.
We ntakuchinja mwenyewe huna siku nyingi hamuwezi kutuletea laana hapa duniani
 
Sutibega mwenyewe alivyo vile mbna km nae ni Mboga? Juma ujanja wote ule kukunjwa 7 na yule kidampaa?

Walikua wanakoboana labda, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Juma watu walikuwa awa amini shida ushahid Wake ulipo fika kapoteza fans kiasi
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ankalii usichekee, hivi wee huoni hilo? Bega na Juma kunako 6Γ—6, km sio mkoboano nn hiko?

Nimemdharau Lokole na kumshusha vyeo vyote, ma Gentlemen walivyo wengi kitaa, amekosa hadi kuangukia kwa Bega, na linajibebisha "Sasa Bega ake"
Jamaniii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila kuna vijana wadogo sana wanumiza sana uko uswahilini wanaona kitu cha kawaida kabisa ukiangalia tiktok kijana mdogo sana mdogo lakin ndio ivyo tena

Kuna mmoja alikuwa ana simulia ana sema wanawake ndio walimshawishi wakampa madera avae wanaenda jiuza magomeni wana nunuliwa kwa 3000 serious na wana mwambia akija mwanaume mwambie upo kwenye siku zako kwahy una mpa nyuma tu

Imagen yule ndio ana kuwa mtoto wako au ndugu yako? Sio vitu vya kuzoeleka ata kidogo

Kitu kinacho nipa maswali hii jambo lilianzia sodoma wanavyo sema Mungu akaangamiza kizazi kile sasa kwanini hakufuta kumbukukumbu na historia kabisa dunian ukiangalia kinacho fanyika sasaiv ni kama karm tu na hakuna njia sahihi ya kusolve hili
 
Lokole kina mondi walimuharibu
 
Uduguu samaraizi bhana, PDF lote hili.
Nashindwa hata nijibu vipi, bado sijapata breakfast ujue..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lokole kina mondi walimuharibu
Nampenda Noel, yeye yuko buzzy na Kiba wake, Domo kila akikataza mwenzake ndo anazidi ku fall kwa King.

Domo nae Bwana? Wakati nae ana bwana ake Diddy Yuko huko segedancee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nachoka mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…