Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,103
- 9,591
Mbona kama nuru imepotea ghafla kwa Idris Sultan, Nini kimemsibu star huyu?
Mkuu naomba tuongee pm...Kuna thread yako Moja hivi ulitoa Somo zuri sana nlitaman nikuulize zaidi kuhusu hilo jambo namna ya kuliendea kwa uzuriEndapo ukijua kilichomsibu utamsaidia au itakusaidia nini ?.
Wengine hatujawahi fika Dar es salaam...Mbona kama nuru imepotea ghafla kwa Idris Sultan, Nini kimemsibu star huyu?View attachment 3489504View attachment 3489505
😁😁😁 huu sasa utani wa Ngumi mkuuJana nimekutana na habari ati kaibiwa bwana na Ommy Dimpoz
Idris nae ni gay?
🤣🤣🤣🤣🤣 broJana nimekutana na habari ati kaibiwa bwana na Ommy Dimpoz
Idris nae ni gay?
Kama kweli alichoma 500M kwa wanawake itamchukua miaka mingi kukaa sawa mzee wa Big brother .Laana ya kutafuna mapunga
Braza ni kweli kwani? 😂🤣🤣🤣🤣🤣 bro
Ni swali 😁😁😁😁😁 huu sasa utani wa Ngumi mkuu