Nini kilisababisha u-cheat?

Haahaaaa...eti wewe nani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli ni upopoma uliotukuka, mi alikuwa ananiropokea si kuna wanawake wengine huko kwani lazima mie kila siku, ikabidi nisimuangushe katika hilo nikajikamatia mama ya kando!
Tena nilifanya kistaarabu kabisa! Ijumaa hadi Jumatatu asubuhi kwa nyumba ndogo; Jumanne ha Ijumaa jioni home kwa bi mkubwa! Ilibidi abadilike na mambo yakarudi kama kawaida!
 
Pumbavu zake, kazi huwa ni kitu kisicho na mdhamana mkuu, leo ipo kesho boss kanuna anakutimua hujafikia target zake tena mara kumi kazi ya serikalini kufukuzwa mpaka viitishwe vikao vya kamati ya nidhamu kadhaa uhojiwe kisha ndio utimuliwe!
Sasa huyo parachichi aliona kupata kazi ndio kakamata dunia mkononi, kila kitu anataka akiendeshe kumbe mwanaume kamili hapelekeshwagi.
Ni kosa kubwa kumsujudia mwanamke ikiwa tumeumbwa tuwatawale, nakupa pongezi kwa kuchukua maamuzi magumu ila yenye faida, Karma haijawahi kukosea mlango huwa inamfikia mjuaji popote pale alipo ha ha ha ha! Kwahio bibie baada ya kazi kuisha akataka arudi kujibebisha wakati alishaanza nyodo, shenzeee!!! I hate such kind of women who prove to be users, anakutumia akifika mbele kidogo anaanza dharau!
 
Tena nilifanya kistaarabu kabisa! Ijumaa hadi Jumatatu asubuhi kwa nyumba ndogo; Jumanne ha Ijumaa jioni home kwa bi mkubwa! Ilibidi abadilike na mambo yakarudi kama kawaida!
Hahahahah huyo ulimnyoosha kweli kweli, lazma roho imuume kuona mwenzie anapewa utamu wake
 
Kweli ni upopoma uliotukuka, mi alikuwa ananiropokea si kuna wanawake wengine huko kwani lazima mie kila siku, ikabidi nisimuangushe katika hilo nikajikamatia mama ya kando!
Kaka kwa utetezi huu hata mahakama inakuachia huru kabisaaaa
 
Kuchokana,,kukinai e.t.c
Chakula hata kiwe kitamu vipi ukikila kila siku ni lazima ukinai then utafute vyakula vingine
 
Takwimu za United Nations ndio zilisababisha nicheat, wanasema idadi ya wanaume ni nusu ya idadi ya wanawake kwa hiyo bila kua nao wawili wawili na kuendelea kuna ambao vitumbua vyao vitaoza
 
Takwimu za United Nations ndio zilisababisha nicheat, wanasema idadi ya wanaume ni nusu ya idadi ya wanawake kwa hiyo bila kua nao wawili wawili na kuendelea kuna ambao vitumbua vyao vitaoza
Hii takwimu ilinipa huruma sana kwa maisha ya dada zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…