Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 8,510
- 10,718
Kwanini mantainance ni ndogo?
Hosting management, Malipo ya domain name. Na walikua wanamtumia host mzuri tu. Kwanza ilikuwa na adsense, Alafu watu walikuwa wanalipia kuweka premium ads.
Kwanini mantainance ni ndogo?
Oh, ok. Sasa kwanini hazifunguliwi na vijana kama haxina gharama kubwa kuziendesha? Huwa nadhani zinahitaji pesa ya kutosha.Hosting management, Malipo ya domain name. Na walikua wanamtumia host mzuri tu. Kwanza ilikuwa na adsense, Alafu watu walikuwa wanalipia kuweka premium ads.
Oh, ok. Sasa kwanini hazifunguliwi na vijana kama haxina gharama kubwa kuziendesha? Huwa nadhani zinahitaji pesa ya kutosha.
Tuongee kitanganyika mkuu. Kwanini ecommerce web hazivamiwi na vijana?View attachment 3288743
Ingekuwa ni hivyo basi hata alieanzisha amazon angeachana nayo tangu mwanzo alivyoanza sababu ya gharama! Mtu anayefungua website hategemei faida ndani ya muda mfupi. Kanuni ya kwanza ni patience.
Kisa na Mkasa. Yule jamaa anaitwa Eid Palmer.Nje ya mada Kuna kile kipindi cha kupatanisha watu EATV sijui kwa nini yule master aliamua kuacha kilikuwa kipindi kizuri kweli
Kwa kweli kupatana walikua viziuri sana, nashukuru niliweza pata vitu vingi bora kupitia huko na kwa bei rahisi sana.
Kabisa mkuuBongo utapeli unawaharibia Sana watu