Nini kilisababisha Kufa kwa “Kupatana”

Nini kilisababisha Kufa kwa “Kupatana”

Nimetoka kuchungulia sijui na domain walichelewa kulipia.Sikutegemea hii kitu itakuja kuishia hivi,nishanunua vitu kibao kupitia wao na kutapeliwa(hii ilikuwa uzembe wangu mwenyewe). Ila sio mbaya wamejaribu
 
Matapeli walivamia app...

Walikua wanauza hadi vifaru vya jeshi bei laki moja na nusu...

Cc: Mahondaw
Ilikuwa ngumu sana kwa e commerce hasa hizi ambazo ni kila mtu anapost product yake kudumu. Maana ni rahisi kuvamiwa na watu ambao sio genuine.

Solution ya hii ni kuwa na payment platform ambayo inahuduma ya escrow. Mtu akilipa pesa iwe held mpaka delivery itakapofanyika.

Hii solution nimeiona kwa jamaa wanaitwa Payguard secure, i think they have the best. payment solutions kuzi rescue hizi digital marketing platforms.

Wana mobile app pamoja API inayoweza power payment ya hizi platforms.

payguard.co.tz
 
ni ya tz nayo
 
Back
Top Bottom