kupima hiv

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupima HIV, japo matokeo ni mazuri lakini siamini

    Ni feeling Gani unaipata baada ya kupima HIV na kukuta upo salama yaani Negative? Hasa baada ya kushiriki tendo bila Kinga, kupata wasiwasi hasa baada ya kuwa na mgogoro wa kiafaya kama kupata homa za mara Kwa mara, tumbo kusumbua na uchovu? Wadau, au nikapime mara ya pili maana baada ya...
  2. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini

    Wakuu nimepima HIV baada ya mwezi na wiki 2 lakini ni negative lakini siamini Kwanini siamini 1.Nilitumia PEP ingawa nilishachelewa zaidi ya siku tatu (wenge) 2.Mimi ni group 0 hivo kinga kali hivo accumulation ya antibodies za kuonekana kwene kipimo inaweza ika delay 3.Window period ni siku...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Namna sahihi ya kutafsri majibu ya VVU

    Vipimo vinavyotumika mara nyingi sana kupima HIV/VVU ni aina ya HIV antibody tests, changamoto ya vipimo hivi ni kuwa kinahitaji mtu awe amepata maambukizi angalau miezi mitatu nyuma kabla ya kupima ili kipimo hiki kiweze kumgundua mtu kuwa ana maambukizi ya HIV/VVU. Ndo maana ukipima katika...
Back
Top Bottom