Nini kilichompata mrisho Mpoto?

Nini kilichompata mrisho Mpoto?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,924
Reaction score
11,305
Huyu jamaa alijizolea sana umaarufu enzi za utawala wa JAKAYA KIKWETE kwa kutoa nyimbo za kukosoa na kushauri na kuonya utawala wake nyimbo kama SALAMU MJOMBA, ASANTENI KWA KUJA, NIKIPATA NAULI nk

Lakini ghafla baada ya utawala wa JK kutoka akabalisha mtindo wa maisha na Wa kuimba nyimbo za kuasa serikali kuonya na kufundishia na kuelemisha

Akawa amejikita zaidi kwenye kusifia watawala waliofuata mfano JPM na MAMA

nachotaka kujua mbona alimkosoa na kumshauri mjomba ila wengine wote anawasifia tu
1750658027046.png
 
Attachments

  • 20250623_084124.jpg
    20250623_084124.jpg
    34 KB · Views: 13
Huyu jamaa alijizolea sana umaarufu enzi za utawala wa JAKAYA KIKWETE kwa kutoa nyimbo za kukosoa na kushauri na kuonya utawala wake nyimbo kama SALAMU MJOMBA, ASANTENI KWA KUJA, NIKIPATA NAULI nk

Lakini ghafla baada ya utawala wa JK kutoka akabalisha mtindo wa maisha na Wa kuimba nyimbo za kuasa serikali kuonya na kufundishia na kuelemisha

Akawa amejikita zaidi kwenye kusifia watawala waliofuata mfano JPM na MAMA

nachotaka kujua mbona alimkosoa na kumshauri mjomba ila wengine wote anawasifia tu
uwanja una mbigiri, na yeye anatembea pekupeku lazima achukue taadhali....
Bi mdhashi alipo kana kazi zao(na yeye akiwamo) za miaka 7, alionesha ni mtu asiye na masikhara kwenye anachokiamini, eidha uamini anachokiammini, usifie anachokiamini au ukae kimya... ukimbipu anakupigia.
 
Wakat anakosoa hakupata chochote kitu zaidi ya nyimbo kupigwa kwny ma redio akaamua kubadilisha gia angani sasa ivi mafanikio telee mara ubalozi wa nyumba ni choo, mara ubalozi wa maji, mialiko ya ikulu ya kutoshaa, na mwendo wa kuokotaa
 
Kwa hiyo na mziki uenda kautupilia mbali!!?
 
Huyu jamaa alijizolea sana umaarufu enzi za utawala wa JAKAYA KIKWETE kwa kutoa nyimbo za kukosoa na kushauri na kuonya utawala wake nyimbo kama SALAMU MJOMBA, ASANTENI KWA KUJA, NIKIPATA NAULI nk

Lakini ghafla baada ya utawala wa JK kutoka akabalisha mtindo wa maisha na Wa kuimba nyimbo za kuasa serikali kuonya na kufundishia na kuelemisha

Akawa amejikita zaidi kwenye kusifia watawala waliofuata mfano JPM na MAMA

nachotaka kujua mbona alimkosoa na kumshauri mjomba ila wengine wote anawasifia tu
View attachment 3379605
Anatengeneza pesa zaidi aiku hizi
 
Ila sidhani kama umefanya homework yako sawasawa. Wakati wa JK alianza na harakati za kukosoa lakini possibly alikuwa comfronted akasanda,ni kipindi kile kile cha JK alinywea na kubadilisha muelekeo.Ingawa inaonekana kama alikuwa na "peacefull negotiations". tofauti na awamu zilizofuatia.
 
Kwenye harusi yake watu walikula vyakula asili.

Lakini yeye mwenyewe kaiacha asili yake.
 
Ukikosea kuna mengi kutiwa ukilema, kulawitiwa, kufa, kupoteza kazi, kufungwa jela kinyume chake sasa
Ukisifia more money, more opportunities
Umechagua upande upi?
 
Alipata nauli...muacheni atumie kipaji chake kula mema ya nchi....hakuna sehemu amevunja sheria
 
Huyu jamaa alijizolea sana umaarufu enzi za utawala wa JAKAYA KIKWETE kwa kutoa nyimbo za kukosoa na kushauri na kuonya utawala wake nyimbo kama SALAMU MJOMBA, ASANTENI KWA KUJA, NIKIPATA NAULI nk

Lakini ghafla baada ya utawala wa JK kutoka akabalisha mtindo wa maisha na Wa kuimba nyimbo za kuasa serikali kuonya na kufundishia na kuelemisha

Akawa amejikita zaidi kwenye kusifia watawala waliofuata mfano JPM na MAMA

nachotaka kujua mbona alimkosoa na kumshauri mjomba ila wengine wote anawasifia tu
View attachment 3379605
Acha wivu ungekua ww unakula shavu ungepoteza muda wako kuleta umbea
 
Back
Top Bottom