Nini kilichompata mrisho Mpoto?

Nini kilichompata mrisho Mpoto?

Huyu jamaa alijizolea sana umaarufu enzi za utawala wa JAKAYA KIKWETE kwa kutoa nyimbo za kukosoa na kushauri na kuonya utawala wake nyimbo kama SALAMU MJOMBA, ASANTENI KWA KUJA, NIKIPATA NAULI nk

Lakini ghafla baada ya utawala wa JK kutoka akabalisha mtindo wa maisha na Wa kuimba nyimbo za kuasa serikali kuonya na kufundishia na kuelemisha

Akawa amejikita zaidi kwenye kusifia watawala waliofuata mfano JPM na MAMA

nachotaka kujua mbona alimkosoa na kumshauri mjomba ila wengine wote anawasifia tu
View attachment 3379605
Kila binadamu anaweza kubadilika muda wowote ule.
 
Hata ungekuwa wewe, ungewasemea watanzania hawa wa Simba na Yanga na story za umbea na muziki?. He did the right thing. Hakuna kitu kizuri unaweza kujifanyia nchi hii kama kuungana na walaji katika kula. Wanaoliwa hawako tayari kuacha kuliwa, muda ukifika, haitatumika nguvu kubwa kuwaamsha. Kwanini uende jela, upate ulemavu, upishane na pesa safi kwa kuwasemea waliwao ambao wako comfortable kuliwa? Join the eaters and enjoy the part, as you should.​
 
Huyu jamaa alijizolea sana umaarufu enzi za utawala wa JAKAYA KIKWETE kwa kutoa nyimbo za kukosoa na kushauri na kuonya utawala wake nyimbo kama SALAMU MJOMBA, ASANTENI KWA KUJA, NIKIPATA NAULI nk

Lakini ghafla baada ya utawala wa JK kutoka akabalisha mtindo wa maisha na Wa kuimba nyimbo za kuasa serikali kuonya na kufundishia na kuelemisha

Akawa amejikita zaidi kwenye kusifia watawala waliofuata mfano JPM na MAMA

nachotaka kujua mbona alimkosoa na kumshauri mjomba ila wengine wote anawasifia tu
View attachment 3379605
CCM kimegeuka na kuwa Chama cha Machawa
 
Back
Top Bottom