Nini kilichangia Wachungaji kupigwa 9-2 na Mapadri?

Nini kilichangia Wachungaji kupigwa 9-2 na Mapadri?

Ndicho kilichobaki kwa hao mapadre na wachungaji baada ya kazi za kanisani kuwashinda wakaona wakimbilie matamko ya siasa .Baada ya kuona huko nako kumewashinda wamegeukia kwenye kucheza soka
Baada ya Soka nini kinafuata?
Unaandika ujinga mwingi sana umekiona kwanza alichokifanya huyu Sister?
IMG_20250709_113021.jpg


Naamini hata wewe na uanaume wako (kama ni mwanaume) huwezi kukifanya.
 
A
Ndicho kilichobaki kwa hao mapadre na wachungaji baada ya kazi za kanisani kuwashinda wakaona wakimbilie matamko ya siasa .Baada ya kuona huko nako kumewashinda wamegeukia kwenye kucheza soka
Baada ya Soka nini kinafuata?
A human being is a spiritual, social and political being by his very nature. No way that he can find himself out of such pattern.
 
Katika maazimisho ya miaka 50 ya Askofu Isack Amani wa Arusha na kuimarisha umoja baina ya watumishi wa Mungu , kulichezwa mechi muunganiko wa wachungaji vs mapadri wa Arusha .

Kiukweli wachungaji walizidiwa sana ,wachambizi wa JF nini kilipelekea hiki kipigo cha 9-2 ?
View attachment 3399209


View: https://youtu.be/HqJZ_SlZ1JE?si=ke4H6FmNEvY7N3OH

Hao.mapdri mashuleni kwao wanapiga sana ball..kuna farther enzi zetu huko mwanza alikuwa 55years lakini alikuwa anasukuma ball hatari
 
A
A human being is a spiritual, social and political being by his very nature. No way that he can find himself out of such pattern.
Mapdre walikuwa wale wa zamani popote ukikutana naye kavaa kanzu ya kipadre na kumuona ni nadra muda mwingi yuko.misioni .Ukimuona mtaani watu wanapiga magoti awabariki

Hawa wa sasa kutwa wako mtaani kama uwanjani na vikaptula vyao

Mapadre wa zamani paja lake huwezi liona wazi.Hao yao nje nje
Wanawapa majaribu na matamanio masista na waumini wa kike
 
Katika maazimisho ya miaka 50 ya Askofu Isack Amani wa Arusha na kuimarisha umoja baina ya watumishi wa Mungu , kulichezwa mechi muunganiko wa wachungaji vs mapadri wa Arusha .

Kiukweli wachungaji walizidiwa sana ,wachambizi wa JF nini kilipelekea hiki kipigo cha 9-2 ?
View attachment 3399209


View: https://youtu.be/HqJZ_SlZ1JE?si=ke4H6FmNEvY7N3OH

-Mapadre wengi huwa wanafanya mazoezi mara nyingi hasa kuanzia umri wa shule/vyuo na hata katika upafre wenyewe.
-Kukaa kijumuia muda mwingi huchangia kufahamiana na kutengeneza team-work kwa mapadre.
-Utulivu wa kimajukumu kwa mapadre huchangia ku+focus kwenye jambo husika.
UTANI:Mapadre hutumia sauti moderate/wastani kuongea,hivyo wanatunza nguvu za miili yao.
HIVYO BASI,geuza hizo sababu ziende upande mwingine.
 
Back
Top Bottom