A Amani Mrimbo Member Nov 23, 2010 64 9 Dec 6, 2012 #1 Kati ya KUKU NA YAI kipi kilianza kutinga hapa duniani?
Z Zero One Two JF-Expert Member Sep 16, 2007 9,347 3,023 Dec 6, 2012 #2 Nahisi JOGOO alianza kutinga hapa duniani, then kuku mtetea yani jike likatokea ubavuni mwa JOGOO then wakaanzaga kufanya mapenzi alafu mtetea akaa nza kuzaa mayai
Nahisi JOGOO alianza kutinga hapa duniani, then kuku mtetea yani jike likatokea ubavuni mwa JOGOO then wakaanzaga kufanya mapenzi alafu mtetea akaa nza kuzaa mayai
Evelyn Salt JF-Expert Member Jan 5, 2012 63,676 112,866 Dec 6, 2012 #3 Mungu aliumba wanyama na ndege hakuumba mayai, kuku ndo alikuja wa kwanza yai likafata.....
Nicas Mtei JF-Expert Member Dec 21, 2010 11,556 7,085 Dec 6, 2012 #4 Pitia https://www.jamiiforums.com/jf-chit...e-mambo-ya-kitoto-ziachwe-12.html#post5160368
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 71,018 94,063 Dec 7, 2012 #5 Nicas Mtei said: Pitia https://www.jamiiforums.com/jf-chit...e-mambo-ya-kitoto-ziachwe-12.html#post5160368 Click to expand... Muda si mrefu tutaanza na haya maswali Kati ya; Mnazi na nazi kipi kilianza.... Mchungwa na machungwa kipi kilianza... ............. .............
Nicas Mtei said: Pitia https://www.jamiiforums.com/jf-chit...e-mambo-ya-kitoto-ziachwe-12.html#post5160368 Click to expand... Muda si mrefu tutaanza na haya maswali Kati ya; Mnazi na nazi kipi kilianza.... Mchungwa na machungwa kipi kilianza... ............. .............
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,639 4,527 Dec 7, 2012 #6 watu8 said: Muda si mrefu tutaanza na haya maswali Kati ya; Mnazi na nazi kipi kilianza.... Mchungwa na machungwa kipi kilianza... ............. ............. Click to expand... Na mimi nitamuuliza kati ya mimba na binadamu kipi kilianza..??Akiweza kujibu case closed....
watu8 said: Muda si mrefu tutaanza na haya maswali Kati ya; Mnazi na nazi kipi kilianza.... Mchungwa na machungwa kipi kilianza... ............. ............. Click to expand... Na mimi nitamuuliza kati ya mimba na binadamu kipi kilianza..??Akiweza kujibu case closed....