Nini kilianza

Nahisi JOGOO alianza kutinga hapa duniani, then kuku mtetea yani jike likatokea ubavuni mwa JOGOO then wakaanzaga kufanya mapenzi alafu mtetea akaa nza kuzaa mayai
 
Mungu aliumba wanyama na ndege hakuumba mayai, kuku ndo alikuja wa kwanza yai likafata.....
 
Muda si mrefu tutaanza na haya maswali
Kati ya;
Mnazi na nazi kipi kilianza....
Mchungwa na machungwa kipi kilianza...
.............
.............



Na mimi nitamuuliza kati ya mimba na binadamu kipi kilianza..??Akiweza kujibu case closed....
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom