Nini kifanyike Taifa Stars iende Cameroo?

Yaani amunike amepigwa noti na wacape verde ili atu hujumu alafu adi mida hii bado hajatimuliwa, walahi waganda watatufunga 6! Kama amunike ataendelea kuwa kocha wetu! Aloooo tunafanya maksiraha, yaaani huyu zake ni bakoraa tuuu
 
Wadau, hivi tufanyaje ili twende Cameroon? Je tukiifunga Uganda na Lesotho wakaifunga Cape Verde idadi sawa ya magoli nani ana advantage? Tuanze kujadili namna ya ku move forward badala ya kulalamika. Ahsanteni.

Kwa maoni yangu tusipokwenda huko Cameroon itakuwa ni blessing in disguise....maana tukienda kwa 'bahati mbaya' kwenye mechi za makundi tutaambulia siyo chini ya goli sita (yaani 6-0) kwa kila mechi...tehtehtehtehtehtehteh
 
Yaani amunike amepigwa noti na wacape verde ili atu hujumu alafu adi mida hii bado hajatimuliwa, walahi waganda watatufunga 6! Kama amunike ataendelea kuwa kocha wetu! Aloooo tunafanya maksiraha, yaaani huyu zake ni bakoraa tuuu

Amunike ni scapegoat tu...katika wachezaji wetu ukiondoa Samatta ni nani anacheza kwa kujituma?! Samatta ni yeye pekee pengine na Msuva ndio ambao ni serious...Yaani Samatta amepata mpaka yellow cards mbili kwa kuwa anacheza kwa kujituma ...lakini machezaji mengine ndiyo hivyo tena...
 
Wadau, hivi tufanyaje ili twende Cameroon? Je tukiifunga Uganda na Lesotho wakaifunga Cape Verde idadi sawa ya magoli nani ana advantage? Tuanze kujadili namna ya ku move forward badala ya kulalamika. Ahsanteni.
Binafsi naona hatuna haja ya kwenda cos bado hatujajiandaa tumeshtukia tu nafasi hii hapa,tutaenda kutia aibu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom