Mbinu gani kwa mfano itatumika kujua labda mfano bwana Jose alifaulu kihalali au alifanya ujanjaujanja kufaulu??Hakuna ushahidi na ndio maana napendekeza itafutwe
mbinu ya kuhakiki kama walifaulu kihalali
Haya ni maoni yangu tu, Baada ya kutumbuliwa wale wenye vyeti feki sasa tuhamie
kwa wale ambao waliiba mitihani au walifanyiwa mitihani, kumbukumbu zangu zina
onesha kuna miaka mitihani hususani ya kidato cha nne ilikuwa inavuja sana.
Pendekezo langu ni kuwa watu wafanye tena mitihani ili kuwabaini ambao waliiba
mitihani hiyo, Sijui wewe mtazamo wako unafikiri ni mbinu gani itumike kuwabaini
walioiba mitihani?
Hapana sijawahiUmewahi kufanya kazi na mtu ukajiuliza huyu alifaulu vipi kidato cha nne au sita?
Anza na gambo pamoja na bashite.Hakuna ushahidi na ndio maana napendekeza itafutwe
mbinu ya kuhakiki kama walifaulu kihalali
Kwa mfano cheti chake kiaonesha ana A saba angalau kumtafutiaMbinu gani kwa mfano itatumika kujua labda mfano bwana Jose alifaulu kihalali au alifanya ujanjaujanja kufaulu??
Inawezekana kabisa si tunataka ufanisi wa kweli, sisi tumekubaliMkuu mbona kama vile baada ya Wewe Kutumbuliwa kwa Vyeti Feki sasa unataka kuwaharibia na wengine nao yawakute?