Nini kifanyike kuwabaini wafanyakazi ambao waliiba mitihani?

Kwa mfano cheti chake kiaonesha ana A saba angalau kumtafutia
maswali ambayo si magumu sana ambay mtu mwenye A kwenye
somo husika hawezi kubabaika sana (walimu wanajua zaidi mbinu hii)
Mmmh sidhani kama kuna watakaokubali hii ishu
 
Back
Top Bottom