Nini kifanyike ili Taifa letu litoke kwenye mkwamo huu?

Nini kifanyike ili Taifa letu litoke kwenye mkwamo huu?

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,301
Reaction score
12,952
Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake wana jf popote mlipo.

Rejea mada tajwa hapo juu.

Taifa kwanza Mengine badae wakuu.

Mambo yamekuwa mengi kwa muda mchache katika Taifa letu, bila kujali itikadi zetu za vyama, tufanye nini ili taifa letu kutoka katika mkwamo huu?

Binafsi ni mapendekezo yangu
1. Serikali kuondoa kesi ya Mh Lissu Mahakamani.

2. Serikali ya CCM isikaze shingo reforms zifanyike kama ni kusogeza uchaguzi mbele iwe kipaumbele .

3.Vyama vyote vya siasa kushirikiana kuandaa maridhiano ya kitaifa ili kurudisha umoja na mshikamano kwa wananchi.

4. Watanzania ambao wamepotea ,au kufariki taarifa zao ziwekwe wazi ,na wahusika wote bila kuangalia sura wachukuliwe hatua kali, ili kusaidia kurejesha imani ya wananchi kwa serikali.
Yangu kwa sasa ni hayo, karibuni kwa mchango
 
Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake wana jf popote mlipo.

Rejea mada tajwa hapo juu.

Taifa kwanza Mengine badae wakuu.

Mambo yamekua Mengi kwa mda mchache katika Taifa letu, bila kujali itikadi zetu za vyama , tufanye nini ili taifa letu kutoka katika mkwamo huu?

Binafsi ni mapendekezo yangu
1. Serikali kuondoa kesi ya Mh lissu Mahakamani.

2.serikali ya ccm isikaze shingo reforms zifanyike kama ni kusogeza uchaguzi mbele iwe kipaumbele .

3.Vyama vyote vya siasa kushirikiana kuandaa maridhiano ya kitaifa ili kurudisha umoja na mshikamano kwa wananchi.

4.watz ambao wamepotea ,au kufariki taarifa zao ziwekwe wazi ,na wahusika wote bila kuangalia sura wachukuliwe hatua kali, ili kusaidia kurejesha imani ya wananchi kwa serikali.
Yangu kwa sasa ni ayo, karibuni kwa mchango
Anayeongoza ccm angekuwa nazo angefanya haya mapema kabla mambo hayajamuendea kombo.
 
Maajabu ya dunia wabunge wamejibu press ya gwajima ambayo kwenye magazeti haikuwepo!! halafu waandishi wa habari wameonesha karamu ya Samia inafanyakazi ,press ya gwajima haikuwa kwenye magazeti ila Leo majibu yapo kwenye magazeti👿🥸👿🌚🥸
 
Back
Top Bottom