Nini kifanyike dhidi ya Jiitu Patel?


Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2007
Messages
5,194
Likes
12
Points
0

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2007
5,194 12 0
Hoya hoya hoya hoya!?!?!?

Mwizi huyoooo ..... huyooooo.... jamani mwizi huyo........

Come on now!

Jana nilianzisha thread ya nini kifanyike dhidi ya mtu anayehusishwa na wizi wa karibu bilioni mia moja toka benki kuu kwa mujibu wa gazeti la This day.

Muda mfupi baada ya hiyo thread kutokea na watu wengi kuanza kuchangia, JF ilipotea hewani na kama muonavyo wengi imerudi bila ya hiyo thread. Kuna mengi sana kama Mwanakijiji alivyosema yameshakusanywa hapa na tayari kuanikwa JF katika wiki mbili zijazo dhidi ya huyu mtu hatari kabisa katika nchi yetu.

Thread ya Patel ilivyopotea na haya yote yaliyofuatia, kuna watu wamenipigia simu kuniambia kuwa niachane na habari za Patel maana ni mafia na atanifanyia kitu mbaya na kuimaliza JF kabisa. Sasa mimi nasema hivi, F.....ck you Patel. Kama wewe ndio ulimtuma Mushi na watoto wake kuja kuharibu JF ili habari zako zisisemwe hapa basi umechemsha big time.

Kumbuka kuwa kuna KLH News, Mwanahalisi, Thisday, Kulikoni, nk ambako utasemwa big tyme. Kama kweli unatumia intimidation ili kuficha wizi wa pesa ambazo zingetumika kujenga bwawa kubwa la maji hapo Dar na kupungunguza kero za maji ili kunyamazisha watu basi umechemsha. F.....ck you Patel.

Jamani nini kifanyike kwa huyu Patel? Kama wezi wa kariakoo huwa wanapigiwa kelele za mwizi mwiziiii na wanapewa kibano na kuchomwa moto ili wapoteee kabisa, kwa nini the same punishment isitumike dhidi ya Patel ambaye amekula pesa ya wizi huku akiacha watoto wachanga na mama wajawazito wakifa bila madawa hostpitali?

Mwizi mwizi mwizi Jiitu Patel huuyoooooo, choma moto huyooooo!
 

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2007
Messages
5,194
Likes
12
Points
0

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2007
5,194 12 0
Mwafrika wa Kike,

JF tuanche lugha za matusi!

We can argue better kwa hoja!
Mzalendohalisi,

Nakubaliana na wewe ila pia najua kuwa Patel anapata message kuwa yeye ataendelea kujadiliwa hapa JF na kwenye magazeti mengi tu ya Tanzania kwa siku nyingi zijazo hadi sheria ichukue mkondo wake. But for now ataoneshwa kidole cha .... kwa muda ukichukulia kuwa ametuharibia wengi wetu hapa plan zetu za weekend na kutufanya tukeshe kujadili cha kufanya kuiokoa JF.
 

MC

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
762
Likes
38
Points
45

MC

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
762 38 45
Mwiziii huyoooooo, kamata huyooooo,

Ni kweli kabisa kuwa vijana wengi wanachomwa moto kwa kuiba kuku, sasa kuna mtu ameiba mabilioni anaangaliwa tu hivihivi jamani, this is not fair.

Mbaya zaidi ni kwamba pesa hizo zingeweza okoa maisha ya watanzania wengi walioko makaburini sasa hivi kisa ukosefu wa dawa, ukosefu wa ambulance, ukosefu wa hospitali, vifaa na huduma mbovu hospitali.
mpaka pale watanzania watakapotambua ukweli huo hapo juu ndipo wataungana nasi kumwita patel mwizi hadharani,

Mwiziiii huyoooo, kamata huyoooo!!!1
 
Joined
Jan 17, 2008
Messages
15
Likes
0
Points
0

fiSADIST

Member
Joined Jan 17, 2008
15 0 0
Acheni unafki nyie. Nchi yenu mnaiita Bongo halafu mtu akitumia bongo na ushapu kuchukua kuilaini hela iliyolala pahala bila kufyatua risasi mnamlaumu?

Siku hizi hapa Bongo trafiki akikukamata kwa kosa akakuomba buku tatu mmalizane ukamnyima kwasababu unataka kwenda kituoni kulipa faini nzima ya 30,000, watu nane katika kumi watakuona fala. Fanya hiyo experiment kama huamini. Sasa kaka wabongo ndio tumefikia hapo ni unafki kumzomea Jitu Patel.
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
79,380
Likes
43,067
Points
280
Age
28

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
79,380 43,067 280
Hivi hilo Lijiitu linapatikana wapi? Mi nalitaka sana nilipige mingumi na mimbata kama limeniibia nguo zangu nilizokuwa nimeanika nje kwenye kamba. Mimi naichukia sana mijiitu mijizi yenye roho mbaya kama hili lijiitu
 

The Invincible

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2006
Messages
5,033
Likes
1,454
Points
280

The Invincible

JF-Expert Member
Joined May 6, 2006
5,033 1,454 280
Hivi hilo Lijiitu linapatikana wapi? Mi nalitaka sana nilipige mingumi na mimbata kama limeniibia nguo zangu nilizokuwa nimeanika nje kwenye kamba. Mimi naichukia sana mijiitu mijizi yenye roho mbaya kama hili lijiitu
Ana jumba la kufuru eneo la Msasani. Nafikiri huko ndiko anakoishi. Thamani ya jumba hilo yasemekana ni dola za kiamerika milioni tano....au za kibongo bilioni tano na ushee. Hiyo siyo kufuru jamani? Hata hapa Norway panaposifika kwa gharama kubwa za maisha, bado nyumba inayogharimu Kroner milioni 25+ itakuwa ni simulizi kwenye luninga na magazeti. Sembuse nchi maskini kama kwetu.
 

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2007
Messages
5,194
Likes
12
Points
0

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2007
5,194 12 0
hivi hakuna mtu mwenye picha yake iwekwe hapa tumuone huyu mwizi wetu
Hii picha inatafutwa (wengine wanayo ila wanafanya uhakiki) na ikiwa tayari itawekwa hapa kama ile ya vith-rada yule mwizi wa rada ilivyowekwa hapa.

Nadhani itakuwa vizuri kama ile nayo ikirudi hapa ili watu waione vizuri zaidi.
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
79,380
Likes
43,067
Points
280
Age
28

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
79,380 43,067 280
Ana jumba la kufuru eneo la Msasani. Nafikiri huko ndiko anakoishi. Thamani ya jumba hilo yasemekana ni dola za kiamerika milioni tano....au za kibongo bilioni tano na ushee. Hiyo siyo kufuru jamani? Hata hapa Norway panaposifika kwa gharama kubwa za maisha, bado nyumba inayogharimu Kroner milioni 25+ itakuwa ni simulizi kwenye luninga na magazeti. Sembuse nchi maskini kama kwetu.
Yaani hili Lijiitu linaishi kwenye lijumba likubwa hivyo...salaaaleeh...haki ya nani tena...I just need five minutes with this Jiitu...then I'll be good
 

Bin Maryam

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2007
Messages
685
Likes
6
Points
0

Bin Maryam

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2007
685 6 0
Shoka alichanji kuni au kukata miti bila mpini. Kama watanzania ni kuni na huyu jamaa ni shoka basi tukumbuke kuwa kuna mpini wa mbao ambaye ni ndugu na kuni wanaomsaidia.
 

Bowbow

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2007
Messages
545
Likes
5
Points
0

Bowbow

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2007
545 5 0
Hawa watu nadhani baada ya miezi sita kama hawapo Segerea basi nguvu ya umma ichukue mkondo wake.
Tutenegeneze mabomu ya petrol tunavamia kwake "wananchi wenye hasira" tunachoma na tunahakikisha hatoki mtu.

Pili kwanzia sasa biashara yeyote inayofanywa na mafisadi inasusiwa hakuna mwananchi kununua bidhaa au huduma inayotolea na makampuni yanayohusishwa na ufisadi.

Tatu kila anapopita mahali mtaani, kanisani/msikitini, Bank, n.k wananchi wamzomee yeye na hata familia yake na ikibidi hata kumtemea mate ili kuonyesha disatisfaction.

Nne Kuchora katuni mbali mbali na kuziweka kwenye kila kona ya mtaa nchi nzima kuonyesha ufisadi alioutenda.
 

Forum statistics

Threads 1,204,945
Members 457,626
Posts 28,176,731